Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Viwanda vyetu vyote vinatumia gas na haiko calculated, I can attach this as evidence for you but you have a chance to dispute this evidence by giving yours[emoji116][emoji116]
 
Wewe wacha kuongeza chumvi na pilipili, kilaza mwenzako joto la jiwe amesema hivi.
18Century = 1800 - 1899 na amekwamilia hilo. Wacha kugeuza mambo visivyo ni hicho kiingereza chenu kibovu.
 
You are just proving my point bongolala albeit unknowingly. Your import value is more than your export value. Hapo sasa ni uchumi gani mumejenga?
Hizo ni takwimu za mwaka majuzi mzee na unaweza kuona export na import ni almost the same, unlike yours in which import number doubles your export number, and I bet now your import is as triple as your export number.
 
🤣🤣🤣🤣 Kwahyo umebadilisha hata mada ya msimgi.? 🤣🤣🤣.. aahh kmmmk nimekushindwa tabia 🙌🙌
Wewe ndiwe unajaribu kubadilisha. Mwenzako amesema kuna tofauti ya 18th Century na 18Century na kwamba 18Century ni 1800 - 1899. Alafu 1800s ni 18Century. Mbona basi useme yeye kakosea ilhali mwenyewe ameshikilia yupo sahihi? 🤣
 
We jamaa hautakubali kushindwa ..🤣🤣🤣. Nimekupuuza
 
Wewe ndiwe unajaribu kubadilisha. Mwenzako amesema kuna tofauti ya 18th Century na 18Century na kwamba 18Century ni 1800 - 1899. Alafu 1800s ni 18Century. Mbona basi useme yeye kakosea ilhali mwenyewe ameshikilia yupo sahihi? 🤣
Mbona mzee hutaki kunijibu au nikufuate PM. Siku hizi huendi Giraffe Manor?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…