Kwani wewe unajifanya hukuona tamko la serikali kuhusu bullet train au unajifanya chizi, Tz sio Kenya tukisema tumesema na lazima iwe hivyo, utake usitake bullet train ya kwanza EA lazima itokee Tz, ni kama reli ya kwanza ya umeme EA inatokea Tz, ni kama BRT ya kwanza EA inatokea Tz, ni kama cable stayed bridge ya kwanza EA inatokea Tz, ni kama three level interchange ya kwanza EA inatokea Tz, ni kama bwawa kubwa la umeme EA linatokea Tz, ni kama sgr ndefu Africa inatokea Tz, so zoea tu lasivyo utakufa kabla ya siku zako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]