Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mbona unapingana nami wakati mimi naishi Nairobi na wewe upo Tandale? Must you bring unnecessary arguments in everything? Hilo eneo lote lenye maghorofa ilikuwa na nyumba za mabanda. Si lazima ukubali coz it won't change anything. Utabaki tu kuwa mtanzania mjinga hata ukubali
Nimekwambia hvi kibera haiwezi kutoka kwenye orodha ya kua biggest slum in the world haiwezi na haitatoka 🤣🤣🤣🤣 na kwa mtu mwenye akili akiangalia hii picha ndio atajua uwepo wa binaadamu na nguruwe duniani
Screenshots_2023-02-09-15-01-02.png
 
Sasa mbona unapingana nami wakati mimi naishi Nairobi na wewe upo Tandale? Must you bring unnecessary arguments in everything? Hilo eneo lote lenye maghorofa ilikuwa na nyumba za mabanda. Si lazima ukubali coz it won't change anything. Utabaki tu kuwa mtanzania mjinga hata ukubali
Unakumbuka hzi video nilichukua kwa sababu yako 🤣🤣🤣🤣
 
Sio Kweli NK inazidiwa GDP na Kenya.PPP Purchasing Power Parity. Nchi zote za Kijamaa au zenye tatizo na nchi za magharibi zimekuwa zikionyweshwa kuwa ni maskini sana. Mfano: Uingereza ina madeni kuliko ukubwa wa uchumi yake. na Russia ina uchumi unao produce surpluses, wenye hard-earned daily returns of 2.45 billion exports, wakati waingereza wanachapisha pesa kuendesha uchumi wao. Nani tajiri hapo.?

Uingereza ikifilisika hakuna anaesumbuka duniani, na imekwisha kufisika mara nyingi tuu na dunia inasonga. wakati Russia ikisinzia dunia inaingia kwenye inflationary state wewe unaelewa nini?
 
Stop hiding behind the word 'block.' Nilikuambia hata Lucky Summer is considered a slum in Nairobi but nyumba ni apartments blocks. Way better than your uswazi sprawls that cover your entire city View attachment 2512835
After zooming ni jalala tu 🤣🤣🤣🤣 yani unatuletea magorofa ya udongo yanayodondoka kila leo hapa
Screenshots_2023-02-08-22-43-42.png
 
After zooming ni jalala tu 🤣🤣🤣🤣 yani unatuletea magorofa ya udongo yanayodondoka kila leo hapa
View attachment 2512842
Wacha kujiliwaza bongolala. Those are apartment blocks built in a very organized way hadi kuna nafasi ya barabara. You can't compare that place na zile dreamhouses zenu zilizojengwa bila mpangilio na bati zimeliwa na mchwa hadi zinavuja
 
Kuna cbd nyingine isipokua kariakoo? Si n bahari next
Asanti kwa kukubali cbd ya dar-ni-slum
Wacha nikufundishe DAR .. eneo lilopo next to bahari ni hili hapa.. panaitwa Posta na ndio CBD hapa DAR 👇
1000_F_527788003_YFPJfIkBTgjGwHOYe40voi06wE8dWn7a.jpg
gettyimages-1411776147-612x612.jpg
IMG_2172 (1).jpg
FhcAYFTWQAEalSi.jpg
daressalaamcity_1640530334915220.jpg
hii ni posta kaka ndio Iko karibu na bahari.. nimepost side by side ili uelewe mana wewe ni kichwa ngumu.. Kariakoo unaweza kuina 👇 gorofa za upande wa kushoto
moizhusein-20221020-0011.jpg
☝️kk na hapo katikati ndio kunatenganisha kk na posta ..
 
Back
Top Bottom