Nyie waafrika wapumbavu mbadilike sasa, hizi nchi zetu za Afrika zimeongelewa kwa mabaya miaka mingi sn as if hakuna lililo zuri, wazungu wameipa taswira mbaya sana Africa kana kwamba hakuna zuri, leo hii cc waafrika tulioenda shule tunasema hapana yapo maeneo mazuri tu kama yalivyo huko kwenu na ndiyo tunaonesha upande mzuri wa Afrika, bad lucky ni kwamba bado kuna waafrika wengi sana wasio na elimu au akili ya kujitambua mfano wewe hamtaki kuonesha mazuri kabisa mkidhani kuonesha mabaya siku zote mtapata msaada kwa namna moja au nyingine.
Sikia nikwambie, usidhani wazungu waliokuharibu ubongo kwamba hawana maeneo mabovu, No, wanayo sema wenzetu wako so positive ktk maisha yao thus y watakuonesha maeneo mazuri tu mjinga kama wewe ili uzidi kuwaogopa.
Anyways, turudi kwenye jambo ulilopost, usidhani kwamba cc waafrika tulioelimika humu iwe Wakenya au Watz hatujui changamoto zinazotukabili, tunajua fika ila sisi tumeelimika na tunajua imefika muda wa waafrika kuwa positive na bara lao, yn sisi kwanza tuanze kupost mema ya nchi zen changamoto tutazi solve. Najua wewe mu Africa usiyeelimika hujui ni kwnn watalii wanaongezeka kila kukicha, unadhani wanakuja tu, FYI ni kwamba haya mambo mema tunayo post humu ni moja ya kivutio kinachowaleta hapa na kutuletea faida kedekede zitakazo saidia kumaliza umaskini ambao wewe unapenda kuona ukioneshwa 24/7.




.......kwa kweli povu limekutoka, hivi mwana 'Daslam' mwenzangu unajisikiaje kupost mapicha ya O'bey au masaki wakati ukitoka huko unaenda lala kinondoni hananasif.....??

, Anyway najua yote hiyo ni kutokana na 'uchawa' na kusifia sifia wakubwa, ama pia hii ni kutokana na athari ya ukomunist... utamaduni wa communist nations ni country or supreme leadership pride first, so huwezi challenge, na kwa hapa bongo tunafahamiana vizuri tu ni kundi lipi linapata kula yao kupitia uchawa. Ni ngumu ukiwa unatafuta hela yako kwa jasho then ukaona adha ya mvua kariakoo ama mitaro ya majitaka ilivyo katika hali mbaya mitaa ya Upanga then ukana hapa ku 'brag' na picha za maghorofa ya posta, huo ni ujuha.....by the way hii ni open platform, nikisifia sifia kwamba mambo iko poa kwa majiji yetu ilhali si kweli namsaidia nani...?? Nyie mnaopewa 'mabando' endeleeni kusifia sisi wanaume wa kweli tutawaumbua.....
Huyo contructer aliyejenga hapo chini achapwe viboko na kunyongwa
Mkuu usitumie sana hisia kujibu hoja, usiwe kama Babu Tale mzee wa kununua Phd au Mwigulu mzee wa 'economic arrogance' kama kweli wewe ni msomi na umeerevuka take time to read and come up with concrete point, na si hizi points based on uchawa na uongo mwingiNyie waafrika wapumbavu mbadilike sasa, hizi nchi zetu za Afrika zimeongelewa kwa mabaya miaka mingi sn as if hakuna lililo zuri, wazungu wameipa taswira mbaya sana Africa kana kwamba hakuna zuri, leo hii cc waafrika tulioenda shule tunasema hapana yapo maeneo mazuri tu kama yalivyo huko kwenu na ndiyo tunaonesha upande mzuri wa Afrika, bad lucky ni kwamba bado kuna waafrika wengi sana wasio na elimu au akili ya kujitambua mfano wewe hamtaki kuonesha mazuri kabisa mkidhani kuonesha mabaya siku zote mtapata msaada kwa namna moja au nyingine.
Sikia nikwambie, usidhani wazungu waliokuharibu ubongo kwamba hawana maeneo mabovu, No, wanayo sema wenzetu wako so positive ktk maisha yao thus y watakuonesha maeneo mazuri tu mjinga kama wewe ili uzidi kuwaogopa.
Anyways, turudi kwenye jambo ulilopost, usidhani kwamba cc waafrika tulioelimika humu iwe Wakenya au Watz hatujui changamoto zinazotukabili, tunajua fika ila sisi tumeelimika na tunajua imefika muda wa waafrika kuwa positive na bara lao, yn sisi kwanza tuanze kupost mema ya nchi zen changamoto tutazi solve. Najua wewe mu Africa usiyeelimika hujui ni kwnn watalii wanaongezeka kila kukicha, unadhani wanakuja tu, FYI ni kwamba haya mambo mema tunayo post humu ni moja ya kivutio kinachowaleta hapa na kutuletea faida kedekede zitakazo saidia kumaliza umaskini ambao wewe unapenda kuona ukioneshwa 24/7.
Haijalishi inatumia njia gani kulipia acha uchokoraaWe always unakuaga mjinga sinaga time ya kubishana na wewe. Expressway ina modes 3 za kulipia; cash, manual tolling card(MTC) na electronic tolling card(ETC). Anazungumzia gari zilizorejister kutumia ETC, si gari nyingi zinatumia hii mbinu





Huyo ni zero kichwa dafu,achana nayeHaya nenda kalale sasa kwa amani
Wenzenu wanalia machozi lita 100 huku
Yah....my fellow countrymen they will be so furious with this article as you know we are poor from facing the reality....This is one of the most informative reads I have gone through about Tanzania's slums. It is real and detailed.
We jamaa unaweza leta picha za hayo maeneo tuyaone yalivyo kwasasa.?Yah....my fellow countrymen they will be so furious with this article as you know we are poor from facing the reality....
Hiyo picha ya mwisho hata kwa kuangalia tu kuna tofauti gani kati ya posta na kariakoo? Hiyo eneo dogo katikati amaWacha nikufundishe DAR .. eneo lilopo next to bahari ni hili hapa.. panaitwa Posta na ndio CBD hapa DAR 👇View attachment 2513079View attachment 2513080View attachment 2513082View attachment 2513085View attachment 2513088hii ni posta kaka ndio Iko karibu na bahari.. nimepost side by side ili uelewe mana wewe ni kichwa ngumu.. Kariakoo unaweza kuina 👇 gorofa za upande wa kushoto View attachment 2513089☝️kk na hapo katikati ndio kunatenganisha kk na posta ..
Kwahyo Posta na Kariakoo ni eneo moja au.? Heb nijuze mjuajiHiyo picha ya mwisho hata kwa kuangalia tu kuna tofauti gani kati ya posta na kariakoo? Hiyo eneo dogo katikati ama
If it wasn't recorded or registered how would they know the number of users per day? Common sense bongolalaHaijalishi inatumia njia gani kulipia acha uchokoraa
Kwa hiyo ikitumia cash ama manual trolling card haiwi recorded au haiwi registered?
![]()
The distance between Posta and kariakoo haifiki hata mita mia tatu. Ni majina tu yanatofautiana but it's one and the same placeKwahyo Posta na Kariakoo ni eneo moja au.? Heb nijuze mjuaji
Kwahiyo unalazimisha mzee.? Anyways tell me the distance between your CBD and eastleigh. Je so eneo moja.? Si afadhali ya KK na Posta zinatengenishwa na ParkThe distance between Posta and kariakoo haifiki hata mita mia tatu. Ni majina tu yanatofautiana but it's one and the same place
Hili ndio tatizo letu tunapenda kuaminishwa kwa propaganda za wazungu 😆😆😆 pamoja na vikwanzo vya ulimwengu mzima lakini jamaa wanadunda tu
Una picha au vid ikionyesha underdevelopment in n.korea au na wewe ni walewale wazee wa western propaganda.? Gorofas+barabara za lami+beautiful Parks and all those beautiful amenities that are the indicators of development, utasemaje si maendeleo.? Na tupo hapa tunabishana na wakenya 24/7 kupost hizo vitu na kwamba mwenye gorofa nyingi na barabara nzuri tunamtaja kama ameendelea kuliko mwingine.? Vipi we jamaa bhana.? Zimo kweli.?You have such a limited and biased worldview. Magorofa si maendeleo. Hiyo still uliyoweka pekee ni tosha kukwambia kuwa hawataki ukulele hali halisi ya maisha yao. Sure, maghrofa yanajengwa, but it’s all just a facade!
North Korea hairuhusu entity yoyote kufanya research Au ku-record video kwenye maeneo mengi ya nchi yao. As a matter of fact, kama unataka kuchukua video footage ni maeneo machache unayoruhusiwa kufanya hivyo. Na kuna sehemu watalii hawaruhusiwi kufika kabisa. Sasa hiyo video nitaipata wapi? Na kwanini waweke hizo restrictions? Ni vitu gani wanaficha?Una picha au vid ikionyesha underdevelopment in n.korea au na wewe ni walewale wazee wa western propaganda.? Gorofas+barabara za lami+beautiful Parks and all those beautiful amenities that are the indicators of development, utasemaje si maendeleo.? Na tupo hapa tunabishana na wakenya 24/7 kupost hizo vitu na kwamba mwenye gorofa nyingi na barabara nzuri tunamtaja kama ameendelea kuliko mwingine.? Vipi we jamaa bhana.? Zimo kweli.?
Huna facts kaa kimya hizo ni porojo tu ..North Korea hairuhusu entity yoyote kufanya research Au ku-record video kwenye maeneo mengi ya nchi yao. As a matter of fact, kama unataka kuchukua video footage ni maeneo machache unayoruhusiwa kufanya hivyo. Na kuna sehemu watalii hawaruhusiwi kufika kabisa. Sasa hiyo video nitaipata wapi? Na kwanini waweke hizo restrictions? Ni vitu gani wanaficha?
Sijasema kuwa ujenzi wa majengo Au miundombinu ni kitu kibaya . Nimesema ni FACADE! Authoritarian regimes wanaweza kufanya kitu chochote wanachotaka ikiwemo kujenga impressive buildings lakini maisha ya watu wao ni ya chini na matatizo mengi ya human welfare yanawatesa. USSR ni mfano mzuri.