Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,495
- 1,802
Sio Kweli NK inazidiwa GDP na Kenya.PPP Purchasing Power Parity. Nchi zote za Kijamaa au zenye tatizo na nchi za magharibi zimekuwa zikionyweshwa kuwa ni maskini sana. Mfano: Uingereza ina madeni kuliko ukubwa wa uchumi yake. na Russia ina uchumi unao produce surpluses, wenye hard-earned daily returns of 2.45 billion exports, wakati waingereza wanachapisha pesa kuendesha uchumi wao. Nani tajiri hapo.?Ile siku niligundua NK inazidiwa GDP na Kenya ndiyo siku niliachana rasmi na ushuzi wa GDP.
Uingereza ikifilisika hakuna anaesumbuka duniani, na imekwisha kufisika mara nyingi tuu na dunia inasonga. wakati Russia ikisinzia dunia inaingia kwenye inflationary state wewe unaelewa nini?


