Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Venus Star na tuusan . mzee wa Maths nimefika
Anyway, ngoja niwaondoe mkanganyiko au niwaeleze kimaths hali ilivyo.
Total frequency ya magari kupita kwa kipindi cha miezi 7 ni 10M frequencies or trips za magari (mind you that, gari moja linaweza kupita zaidi ya mara 2 kwa siku, mfano kama community buses/daladala/sijui zinaitwa matatu huko kenya/school buses/'uber' cars, etc)
Sasa ukichukua 10M ukigawanya kwa miezi 7 na ukigawanya kwa siku 30 kwa mwezi, averagely unapata 50,000 frequencies au trips za magari kupita kwa siku (hapa sio kwamba magari 50,000 yamepita kwa siku, no. Hii 50,000 ni trips au frequencies za magari kupita kwa siku, niwakumbushe tena kuwa gari moja linaweza kupita zaid ya mara mbili kama school buses, etc).

So nirudie tena kuwakumbusha hasa wakenya wanaodhan kuwa ni magari tofauti 50,000 yanapita kwa siku, no, hio idadi ni frequencies au trips magari yanayopita darajan kwa siku, mfano school bus likipita asubuh na likipita tena jion inahesabiwa magari mawili sio gari moja tena, so jumla kwa hio school bus pekee inahesabiwa ni magari mawili, same case to other cars, hivyo basi jumla ya trips zote kwa siku moja averagely wanapata 50,000.. na sio kwamba magari 50,000 tofauti tofauti yanapita kwa siku. Natumaini mmekula vizuri mchana mmeshiba na mmeelewa, otherwise hamtaelewa
Mimi nimeelewa hivyo tangu mwanzo,tatizo jamaa anabisha kua sio kweli na sijui kwann anabisha hasa

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimebobea katika Maths mzee. Siwezi kuwekwa kundi moja na mtu wa HKL.
Kote nilikokuwa naongea nimeongea trips. Hakuna sehemu nimesema idadi ya magari.
Nilienda mbele zaidi nikaonesha namna yanavyopita kwa dakika.

Hebu ngoja nimalizie hapa hesabu yako

50,000 ÷ 24 = 2,083 Trip per hour
2,083 ÷ 60 = 34 per dakika.

Nikasema inamaana wastani wa kila sekunde mbili linapita gari moja.

Mzee kwa namna hiyo tungeona magari mengi sana yameongozana kupita kwenye daraja hilo.
Wewe ni mbabaishaji usitaje Maths sentence moja na wewe uwe na adabu kidogo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kaka kwenye toll kuna camera na kila gari lazima iwe registered na vile vile kama isingekua kuna registration of vehicles wasingepata data ya kujua gari million 10 zimepiga trips kwa miezi 7 na wasingepata average kama hakuna registration hvi nyinyi shuleni hua munaenda kusoma au kula bajia 🤣🤣🤣 kenya nzima kuna magari million 2 leo uniambie express way inapitisha gari million 10 😁😁 hvi nyinyi mulirogwa au ni laana
Bongolala, si lazima uwe mbishi kwenye kila jambo. Expressway inatumia hizo modes tatu umeambiwa kulipia ada.
Hiyo figure ya 10 million haimanishi kwamba those are different cars. Hiyo ni FREQUENCY bongolala. Ukisoma hiyo taarifa inasema kwamba on average, 50,000 vehicles use the expressway daily. Again, that's still frequency. Haimanishi kwamba 50,000 different cars use the road per day.

Jinsi wanavyojua idadi ya watumiaji ni rahisi sana. They only need to check the total number of tickets they've sold in a day kujua idadi ya magari yametumia hiyo barabara.

Mnapenda ubishi za kijinga sana mibongolala
 
Kwa kuangalia nature ya road toll yao haiwezi operate 34 vehicles per minute, unless waje hapa wadanganye kwamba wanatumia Electronic Toll Collection (ETC) system. Na ili hiyo hesabu ya 10m vehicles in 7 months iwe sahihi lazima hii hesabu ya 34 vehicles/min iwe almost constant at any given time. Otherwise ni fabricated data as usual.
Gates ziko kuingia na kutoka sasa kama Gate moja inalanes 8 na ya kutoka 8 kwa mfano hapo kinachoshindikana ni kitu gani?au kulipia inatumia muda gani hadi isiwezekane

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hao wanashangaa ni vichwa maji kama wewe who can't understand that those are frequencies but not individual cars.
We jamaa unajua hata maana ya frequency? Utapataje frequency kama gari halipo. Bure kabisa. Issue Maths, Science and Technology tuachieni sisi. Nyie vijana wadogo wadogo hebu ongeleeni issues za wasanii na history.
 
Lakini ubungo magari yana flow bila kuwepo na kizuizi cha toll kumbuka hilo kua hakuna toll ya kusimamisha gari ubungo kuna foleni hua inatokea daraja la kigamboni kutokana na toll pale mwisho wa siku lazma magari yawe na msongamano kama ni mengi
Mfano mzuri ni Kigamboni bridge. Pamoja na njia nyingi ikifika muda wa 1800-2100 kuna foleni kwenye toll booth na kwa takwimu zao hao Wakenya hapo expressway yanapita magari mengi zaidi ya darajani halafu hakuna foleni!
 
Huwezi kukuta daraja la kigamboni hakuna magari kwenye connecting roads achilia mbali kwenye toll
True na mm ndio maana nashanga sana na wakenya wenye akili zao wanashangaa pia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapa kwa 10m cars za hii expressway Nairobi ndo nimejua kwamba wadanganyika wana low IQ na mfumo wa masomo wa Tanzania ni wa kipuzi sana kama unatoa wanafunzi ambao hawajui kufikiria

Pia nimeelewa kwa nini Danganyika ni nchi maskini wa kutupwa sababu wanainchi wana upungufu wa kimawazo na kuelewa.
Fikiria hawa wako mtandaoni ndio wamechanuka kidogo at least wanatumia internet imagine mdanganyika wa huko sumbawanga au ni kigoma jinsi ako nyuma kiakili na kimawazo?! Haikosi uchawi umeenea hayo maeneo sana sababu hawaelewi maisha
View attachment 2511605
 
Mzee trip maana yake ni gari linapita. Maana yake dakia moja yanapita magari 34.
Yaani kila baada ya sekunde 2 linapita gari moja. Mbona vitu simple tu.

Hawa jamaa ni waongo sana. Kumbuka daraja hilo ni refu siyo daraja la mita moja.
Maana yake kutoka mwanzoni mwa daraja mpaka mwishoni mwa daraja tunatakiwa tuone magari mengi.
Urefu wa daraja hilo ni 27.1 km wanatumia dakika 20.
Maana yake ndani ya dakika 20 tunatakiwa tuyaone magari 20x34 = 680 yakiwa juu ya daraja.

Mbona hatuoni hicho?
Mm ndio naelewa hivyo bila kujalisha gari hyo hyo imepiga trip nyingine, yn kwa frequency wanazodai ilibidi hizo gari zionekane.
 
Back
Top Bottom