Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo 10 million ni number of frequency bongolala. Haimanishi kwamba 10 million different cars have used the expressway. Gani moja linawezapita hapo mara kumi kwa siku but kwa data yao they'll capture it as ten cars. Mambo rahisi mnashindwa kuelewa mitanganyika
Naona mshaelewa sasa
 
Mfano mzuri ni Kigamboni bridge. Pamoja na njia nyingi ikifika muda wa 1800-2100 kuna foleni kwenye toll booth na kwa takwimu zao hao Wakenya hapo expressway yanapita magari mengi zaidi ya darajani halafu hakuna foleni!
Ndio kitu tunajaribu ku reason hapa, inashangaza baadhi ya watz hawaelewi.
 
Hapa kwa 10m cars za hii expressway Nairobi ndo nimejua kwamba wadanganyika wana low IQ na mfumo wa masomo wa Tanzania ni wa kipuzi sana kama unatoa wanafunzi ambao hawajui kufikiria

Pia nimeelewa kwa nini Danganyika ni nchi maskini wa kutupwa sababu wanainchi wana upungufu wa kimawazo na kuelewa.
Fikiria hawa wako mtandaoni ndio wamechanuka kidogo at least wanatumia internet imagine mdanganyika wa huko sumbawanga au ni kigoma jinsi ako nyuma kiakili na kimawazo?! Haikosi uchawi umeenea hayo maeneo sana sababu hawaelewi maisha
View attachment 2511605
Wewe bladfwakin hata simu huna alafu ndio unaongea hivi, mzee wa malaya wa buku 3
 
Speed au distance btn vehicles ni relative, magari hayasimami njian kurundikana ili kuona yakiwa mengi unavyotaka (nb: angalia maneno yako niliyoyabold)
Mchemshie hii statement akunywe kama supu labda ataelewa au kuamini
Screenshot_20230207-151046_Chrome.jpg
 
Sojaona hio show room kwa jina hilo baringo road wala mombasa road 🤣🤣🤣 show room imetoka baringo imehamia mombasa road 🤣🤣🤣🤣🤣 hata google hawatambui hio showroom nairobi naomba unitaftie uniletee hapa nasubiriView attachment 2511175
Nairobi huijui lakini unapiga kelele hapa kama kasuku. Sisi ndio tunaishi Nairobi wewe zoea kugoogle tu. Eti Baringo road 🤣🤣🤣🤣
FYI hio AMG GT 63 ndio hii hapa ikitoka Kwa hio showroom.

 
Hao wanashangaa ni vichwa maji kama wewe who can't understand that those are frequencies but not individual cars.
Ichogal has proved to be a kondoo time and time again ata ukimpea benefit of doubt atakuonyesha tu ukondoo
 
Nairobi huijui lakini unapiga kelele hapa kama kasuku. Sisi ndio tunaishi Nairobi wewe zoea kugoogle tu. Eti Baringo road
FYI hio AMG GT 63 ndio hii hapa ikitoka Kwa hio showroom.

Ichogal ana wivu na kenya anaeza faint anytime soon ngoja uskie bado abishe
 
Mwarabu bandia aka Ichogal eti umesema hio showroom yako ya Baringo road iko wapi? 🤣🤣🤣 Sisi tunajua hii ya Baricho road.


🤣🤣🤣🤣🤣 showroom imekosekana sasa umekuja kipoza machungu bado muna tabia za kudanganya watu dunia hii kaaaah
 
Back
Top Bottom