Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Venus Star na tuusan . mzee wa Maths nimefika 😅
Anyway, ngoja niwaondoe mkanganyiko au niwaeleze kimaths hali ilivyo.
Total frequency ya magari kupita kwa kipindi cha miezi 7 ni 10M frequencies or trips za magari (mind you that, gari moja linaweza kupita zaidi ya mara 2 kwa siku, mfano kama community buses/daladala/sijui zinaitwa matatu huko kenya/school buses/'uber' cars, etc)
Sasa ukichukua 10M ukigawanya kwa miezi 7 na ukigawanya kwa siku 30 kwa mwezi, averagely unapata 50,000 frequencies au trips za magari kupita kwa siku (hapa sio kwamba magari 50,000 yamepita kwa siku, no. Hii 50,000 ni trips au frequencies za magari kupita kwa siku, niwakumbushe tena kuwa gari moja linaweza kupita zaid ya mara mbili kama school buses, etc).

So nirudie tena kuwakumbusha hasa wakenya wanaodhan kuwa ni magari tofauti 50,000 yanapita kwa siku, no, hio idadi ni frequencies au trips magari yanayopita darajan kwa siku, mfano school bus likipita asubuh na likipita tena jion inahesabiwa magari mawili sio gari moja tena, so jumla kwa hio school bus pekee inahesabiwa ni magari mawili, same case to other cars, hivyo basi jumla ya trips zote kwa siku moja averagely wanapata 50,000.. na sio kwamba magari 50,000 tofauti tofauti yanapita kwa siku. Natumaini mmekula vizuri mchana mmeshiba na mmeelewa, otherwise hamtaelewa
 
Mimi nimebobea katika Maths mzee. Siwezi kuwekwa kundi moja na mtu wa HKL.
Kote nilikokuwa naongea nimeongea trips. Hakuna sehemu nimesema idadi ya magari.
Nilienda mbele zaidi nikaonesha namna yanavyopita kwa dakika.

Hebu ngoja nimalizie hapa hesabu yako

50,000 ÷ 24 = 2,083 Trip per hour
2,083 ÷ 60 = 34 per dakika.

Nikasema inamaana wastani wa kila sekunde mbili linapita gari moja.

Mzee kwa namna hiyo tungeona magari mengi sana yameongozana kupita kwenye daraja hilo.
 
Hio data ya mwisho ni trip kwa dakika na sio idadi ya magari kwa dakika moja.. so inawezekana 'to and fro' au lanes ya kushoto na kulia zote zikawa na magari kila dakika zinazoenda na kurudi at the same minute. Pia kuna ishu/factor ya peak hours au off-peak hours.

Mim sina shaka kwa 50,000 trips kupita kwenye hio express, kigamboni tu kiaveragely ni 10,000-15,000 trips

Screenshot_20230209-144350_Chrome.jpg
 
Hio data ya mwisho ni trip kwa dakika na sio idadi ya magari kwa dakika moja.. so inawezekana 'to and fro' au lanes ya kushoto na kulia zote zikawa na magari kila dakika zinazoenda na kurudi at the same minute. Pia kuna ishu/factor ya peak hours au off-peak hours.
Mzee trip maana yake ni gari linapita. Maana yake dakia moja yanapita magari 34.
Yaani kila baada ya sekunde 2 linapita gari moja. Mbona vitu simple tu.

Hawa jamaa ni waongo sana. Kumbuka daraja hilo ni refu siyo daraja la mita moja.
Maana yake kutoka mwanzoni mwa daraja mpaka mwishoni mwa daraja tunatakiwa tuone magari mengi.
Urefu wa daraja hilo ni 27.1 km wanatumia dakika 20.
Maana yake ndani ya dakika 20 tunatakiwa tuyaone magari 20x34 = 680 yakiwa juu ya daraja.

Mbona hatuoni hicho?
 
Okay vyovyote vile. Trip 10,000,000 unaelewa kweli au unaongea tu?
Yaani 10,000,000 / (7x30) =
47,620 magari yanapita kwa siku
Ambayo ni sawa na
1,985 kwa saa.
1985÷ 60 = ambayo ni sawa na magari 34 kwa kila dakika.
Yaani kila baada ya sekunde mbili gari linapita.
How many cars are registered in Nairobi?

Acheni uongo.

Kwa kuangalia nature ya road toll yao haiwezi operate 34 vehicles per minute, unless waje hapa wadanganye kwamba wanatumia Electronic Toll Collection (ETC) system. Na ili hiyo hesabu ya 10m vehicles in 7 months iwe sahihi lazima hii hesabu ya 34 vehicles/min iwe almost constant at any given time. Otherwise ni fabricated data as usual.
 
Mzee trip maana yake ni gari linapita. Maana yake dakia moja yanapita magari 34.
Yaani kila baada ya sekunde 2 linapita gari moja. Mbona vitu simple tu.

Hawa jamaa ni waongo sana. Kumbuka daraja hilo ni refu siyo daraja la mita moja.
Maana yake kutoka mwanzoni mwa daraja mpaka mwishoni mwa daraja tunatakiwa tuone magari mengi.
Urefu wa daraja hilo ni 27.1 km wanatumia dakika 20.
Maana yake ndani ya dakika 20 tunatakiwa tuyaone magari 20x34 = 680 yakiwa juu ya daraja.

Mbona hatuoni hicho?
Speed au distance btn vehicles ni relative, magari hayasimami njian kurundikana ili kuona yakiwa mengi unavyotaka (nb: angalia maneno yako niliyoyabold)
 
Ni wanavituko kweli ,ujinga wao wakujifariji wamejisahau wanashindwa hata kufanya hesabu yakinifu
Hiyo 10 million ni number of frequency bongolala. Haimanishi kwamba 10 million different cars have used the expressway. Gani moja linawezapita hapo mara kumi kwa siku but kwa data yao they'll capture it as ten cars. Mambo rahisi mnashindwa kuelewa mitanganyika
 
Speed au distance btn vehicles ni relative, magari hayasimami njian kurundikana ili kuona yakiwa mengi unavyotaka
Hapa sijaongelea speed natafuta kujua uhalali wa data walizotoa.
Hiyo ya dakika 20 wameisema wenyewe kuwa yanatumia dakika hizo. Sasa kwa data hizo ili ku justify 10m trips
nilazima ufanye calculation ya 20x34(680) : 24/7

Hata kama kuna muda magari yanakuwa mengi basi watuoneshe japo magari 500 yakiwa juu ya daraja kwa wakati mmoja.
 
Rudia tena nilichoandika nimeedit...
Afu mfano, daraja la pale ubungo kama hamna folen ya kule kibo, umewah kuona magari zaid ya 100 kwa wakat mmoja juu ya daraja? Lkn kama kigamboni tu yanapita zaid ya 10,000 bas hapo ubungo nadhan ni mara tatu au tano zaid yake
 
Rudia tena nilichoandika nimeedit...
Afu daraja la pale ubungo umewah kuona magari zaid ya 100 kwa wakat mmoja juu ya daraja? Lkn kama kigamboni tu yanapita zaid ya 10,000 bas hapo ubungo nadhan ni mara tatu au tano yake
KEYWORD: TUNATAKA KUJUA UHALALI WA 10,000,000Trips

Bado mzee hujaelewa ninachoongea hapa. Sidhani kama tunaongea lugha moja ya Math.
Daraja lina urefu wa 27.1 km.
Tofautisha na kitu kifupi na kitu kirefu.
Yaani 27.1km ni parefu sana mzee.

Sasa kutoka kwenye calculation ya mwanzo tu (Maana yake ndani ya dakika 20 tunatakiwa tuyaone magari 20x34 = 680 yakiwa juu ya daraja.)
Wamesema kuwa kutoka mwanzo wa daraja mpaka mwisho wa daraja ni dakika 20.
Inamaana gari moja linatumia dakika ishirini kutoka mwanzo wa daraja mpaka mwisho wa daraja.
Kutokana na takwimu tumegundua ndani ya dakika moja yanapita magari 34.
inamaana kabla ya gari moja halijafika mwisho kuna magari mengine 34 kila bada ya dakika yanaingia kwenye daraja.
Kwa maana hiyo gari moja mpaka likafike mwishoni kuna magari 680 yatakuwa yapo juu ya daraja.

Mbona calculation rahisi sana mzee.

Hapa tunatafuta uhalali wa taarifa walizoziweka.

NB: Ubungo flyover siyo ndefu kiasi hicho kufanya magari 100 yawepo juu ya daraja kwa muda huo.
 
Rudia tena nilichoandika nimeedit...
Afu mfano, daraja la pale ubungo kama hamna folen ya kule kibo, umewah kuona magari zaid ya 100 kwa wakat mmoja juu ya daraja? Lkn kama kigamboni tu yanapita zaid ya 10,000 bas hapo ubungo nadhan ni mara tatu au tano zaid yake
Lakini ubungo magari yana flow bila kuwepo na kizuizi cha toll kumbuka hilo kua hakuna toll ya kusimamisha gari ubungo kuna foleni hua inatokea daraja la kigamboni kutokana na toll pale mwisho wa siku lazma magari yawe na msongamano kama ni mengi
 
Ndio maana nimekwambia hujui Math mdogo wangu.
Unajiaibisha hapa. Sasa ulichokiandika tofauti yake na nilichoweka ni nini?

10,000,000/7 = B
B/30 = C
So: C = 10,000,000/ (7x30)
Mbona rahisi tu mwanangu
Kwanini uwe na mzunguko mkubwa kama mtoto wa darasa la kwanza?
Sasa wewe unachobisha hapo ni nn?
Yaani unabisha kitu gani hasa?izo takwimu zimetolewa na mamlaka husika wew unasema ni uongo hujioni kama unashida

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom