tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Wewe kingereza hujui,kufikiria huwezi,hesabu hujui,bure kabisa weweMathematics inakupiga chenga siwezi kujadiliana na mtu wa HKL.
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wewe kingereza hujui,kufikiria huwezi,hesabu hujui,bure kabisa weweMathematics inakupiga chenga siwezi kujadiliana na mtu wa HKL.
Mzee nimekuambia wewe ni HKL acha kuingilia mambo ya Mathematics. Wewe endelea na kuboresha matumizi bora ya misamiati na nahau.Unabisha nn hapo? Unabishana na watu wenye takwimu?Upumbavu ni kipaji
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hesabu nilishaziacha nikiwa darasa la kwanza. Mimi kwa sasa hivi napiga Hisabati.Wewe kingereza hujui,kufikiria huwezi,hesabu hujui,bure kabisa wewe
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hivi ukiacha Tanzania, ni nchi gani iliyopakana na Kenya ambayo haijawahi kuwa na "border dispute?". Kenya ni nchi ya hovyo sanaMtapigwa .Sudan
![]()
South Sudan summons Kenya’s envoy over border dispute
Mayii met with the Kenyan diplomat after clashes between Toposa and Turkana communities.www.theeastafrican.co.ke
Wanaojua maths wanauwezo mzuri wa kufikiri Sasa wewe unajua nnHesabu nilishaziacha nikiwa darasa la kwanza. Mimi kwa sasa hivi napiga Hisabati.
Unajua mzee unanipotezea muda bure tu. Sijajua unacholalamikia ni nini.Wanaojua maths wanauwezo mzuri wa kufikiri Sasa wewe unajua nn
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hamna yaani Hawa watu kidomo alafu nguvu sifuriHivi ukiacha Tanzania, ni nchi gani iliyopakana na Kenya ambayo haijawahi kuwa na "border dispute?". Kenya ni nchi ya hovyo sana
Umeambiwa magari 10K ndio yaliojisajili mfumo wa ki electronic sasa wewe umegeneralize kua ndio magari pekee yaliopita hapo kwa miezi 7 Ilo ni Kosa la kwanza,Kosa la pili unapotaka kugawanya 10M trips kwa magari hayo machache huwezi kupata hesabu kamili.Unajua mzee unanipotezea muda bure tu. Sijajua unacholalamikia ni nini.
Hebu nieleze malamiko yako ni yapi kwenye calculation nilizoweka? Nipo tayari kutoa msaada bure kabisa.
Ndio maana nimekwambia Hisabati zinakupiga chenga. Hebu fuatilia nilichoandika. Unakurupuka tu.Umeambiwa magari 10K ndio yaliojisajili mfumo wa ki electronic sasa wewe umegeneralize kua ndio magari pekee yaliopita hapo kwa miezi 7 Ilo ni Kosa la kwanza,Kosa la pili unapotaka kugawanya 10M trips kwa magari hayo machache huwezi kupata hesabu kamili.
Nashauri uache ujuaju usiona tina na kama vitu huelewi tulia
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nitamtaja mara zote nataka msee useless fool hutanipangia maneno,kwani ni mungu wakoHivi wewe Magu alikua anakudinya?? Mbona umemng'ang'ania sana? Mtu kishakufa! Kila siku unamtaja taja tu!
Wewe vipi!
Hivi kumbe kuna pombe bri ni sawa na mshahara wa MtuView attachment 2510732
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]izo level za wachache mjini
Labda hii itakusaidia kuelewa hesabu zako[emoji23]Okay vyovyote vile. Trip 10,000,000 unaelewa kweli au unaongea tu?
Yaani 10,000,000 × (7x30) =
47,620 magari yanapita kwa siku
Ambayo ni sawa na
1,985 kwa saa.
1985÷ 60 = ambayo ni sawa na magari 34 kwa kila dakika.
Yaani kila baada ya sekunde mbili gari linapita.
How many cars are registered in Nairobi?
Acheni uongo.
Wewe ni Bloody fool,Ndio maana nimekwambia Hisabati zinakupiga chenga. Hebu fuatilia nilichoandika. Unakurupuka tu.
Kama hujui Math ni bora ukakaa kimya kuliko kuonesha upumbavu wako hapa. Math siyo matako kila mmoja anayo
Okay vyovyote vile. Trip 10,000,000 unaelewa kweli au unaongea tu?
Yaani 10,000,000 / (7x30) =
47,620 magari yanapita kwa siku
Ambayo ni sawa na
1,985 kwa saa.
1985÷ 60 = ambayo ni sawa na magari 34 kwa kila dakika.
Yaani kila baada ya sekunde mbili gari linapita.
How many cars are registered in Nairobi?
Hizo calculation based on 24/7. Yaani hata usiku wa manane magari yanapita kila baada ya sekunde mbili.
Acheni uongo.
Huyo jamaa anachokera ni kutukana watu alafu yeye ndio anaekosea,Yani kama hauna ubongo basi atleast uwe na nidhamuLabda hii itakusaidia kuelewa hesabu zako[emoji23]View attachment 2511427
Bado hesabu inautata mkubwa sana na kunaonekana kuna udanganyifu mkubwa ili kutuliza munkar za wakenya na isionekane kama ni moja ya miradi ya ovyo kenya🤣🤣Wewe ni Bloody fool,
10M÷(7)=wastani wa mwezi mmoja
Wastani wa mwezi ÷ 30days=wastani wa siku
Unajinasibu hapa kua unajua mathematics kumbe hata hesabu za kugawanya hujui
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ndio maana nimekwambia hujui Math mdogo wangu.Wewe ni Bloody fool,
10M÷(7)=wastani wa mwezi mmoja
Wastani wa mwezi ÷ 30days=wastani wa siku
Unajinasibu hapa kua unajua mathematics kumbe hata hesabu za kugawanya hujui
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Watu ninaowakera humu ni wewe na mbumbumbu wenzako msiojua Mathematics.Huyo jamaa anachokera ni kutukana watu alafu yeye ndio anaekosea,Yani kama hauna ubongo basi atleast uwe na nidhamu
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kama wakenya wenyewe wanashangaa ww ni nani usishangae 🤣🤣🤣🤣 akiki za kuambiwa changanya na zakoHuyo jamaa anachokera ni kutukana watu alafu yeye ndio anaekosea,Yani kama hauna ubongo basi atleast uwe na nidhamu
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app