Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi




The only kenyan in St.Helena island whose the head of air traffic controller

JKIA airport security ranked as the best in africa

The best 007 pitia hapa uone JKIA
Kupata vichekesho kama hivi tubonyeze wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
88 Nairobi 44 floors cladding preparation
Tallest apartment in East and Central Africa
52670869730_f6f235452d_b.jpg

52669934137_b5285e2fef_b.jpg

52670437631_844e1ba4ac_b.jpg
Huu ujenzi mbn kama [emoji3508] kali hivi au macho yangu wadau.
 
Stupid Kunyan, which progress?. KDF has failed terribly in DRC to stop M23 from advancing, the residents of DRC don't like to see Kenyan soilders in their country because is a useless army.


This is what TPDF did to M23 and defeated the group 9 years ago

Nimeangalia hiyo video na sijasikia mahali hao watu wanataja jina ya jeshi la Kenya.

The second video, I thought you were going to show me a video of your army battling the rebels. Mimi nimeona tu picha ya watu wakichukua selfies
 
Yani hawa watu sio tu ni chuki ndio inawasumbua lakini wako tayari iwe rwanda au uganda ila sio tanzania yani wakiskia tanzania kwao ni kuhara tu muda wote yani kwa lugha fupi tanzania ndio mhasimu wao wanadhani hvo 🤣🤣🤣🤣🤣
Ni watu wa ajabu sana wapo tayari wavae mtumba wa Mzungu lakini sio brand new t-shirt iliotengenezwa Tanzania 😂😂 kipindi wanazindua SGR yao kuna mjadala ulienda viral kwanini t-shirts za uzinduzi zimetoka Tanzania lakini walivyo na akili finyu hawakujiuliza kwanini SGR wametengeneza wachina 🤣
 
Hao jamaa in 10 years watakuwa wanaagiza everything from Tanzania almost 90% of their imports zitatoka Tanzania.

Ngoja miradi ya umene ikamilike umeme utakuwa very cheap plus reliable maana transmission inaendelea kuboreshwa halafu pia logistics za transport kama reli na ports zimeboreshwa investors watafurika sana kwenye kongani za biashara.
Next big product from Tanzania to Kenya itakua sukari, Tanzania ikimaliza kujenga viwanda vikubwa vi5 vya sukari vinavyojengwa Tanzania kwa sasa, tutaiuzia Kenya sukari nyingi sana!
 
While JNIA is the biggest, modern and high tech Airport in the region[emoji23][emoji23][emoji23]
Can you define high-tech in this context and what makes it so?

Secondly, JKIA is the seventh busiest airport in Africa and the best in customer service in the continent. Where does your mabati rolling mills rank in the continent with all the flowery words you've used to describe it?
 
Wewe leta Airport kubwa, nzuri na modern zaidi ktk ukanda huu
Beauty and modernity are subjective words. It can be beautiful and morden in your eyes but to another person, it is just another ordinary airport.

Figures, on the other hand, are accurate data compiled over a certain period of time and represent th actual thing on the ground. Leta figures baba, wacha kujiliwaza with flowery words
 
Beauty and modernity are subjective words. It can be beautiful and morden in your eyes but to another person, it is just another ordinary airport.

Figures, on the other hand, are accurate data compiled over a certain period of time and represent th actual thing on the ground. Leta figures baba, wacha kujiliwaza with flowery words
Beauty and modernity are subjective words. It can be beautiful and morden in your eyes but to another person, it is just another ordinary airport.

Figures, on the other hand, are accurate data compiled over a certain period of time and represent th actual thing on the ground. Leta figures baba, wacha kujiliwaza with flowery words
Kwann sio JKIA 🤣🤣🤣🤣🤣 dunia ishabadilika badilikeni na nyinyi hakuna kitu mutakaa mukiingopa kwa kizazi hichi ambacho kila mtu ni mjuaji
 
Usitake kujitoa ufahamu hapa. Kibera ndio slum pekee Nairobi?
  • Dandora.
  • Mathare
  • Deep Sea.
  • Huruma.
  • Kangemi.
  • Kariobangi.
  • Kawangware.
  • Kiambiu.
  • Kiandutu.
Mentioned above are among many terrible slums located in Nairobi. Give us the size of each slum, and actual numbers of residents.
Some of these slums are way better than your uswazi hovels that cover your entire city. Take a look at Kariobangi for instance and compare with your Swahili uswazi hovels

Kariobangi slum
images (16).jpeg
images (90).jpeg
images (26).jpeg


Now compare with your disorganized uswazi sprawls you call middle class areas
Screenshot_20220527-004137~2.png
Screenshot_20220527-004123~2.png
Screenshot_20220625-195527~2.png
Screenshot_20220527-005042~2.png
Screenshot_20220527-004414~2.png
Screenshot_20220527-004347~2.png
 

Attachments

  • images - 2023-01-17T223906.597.jpeg
    images - 2023-01-17T223906.597.jpeg
    31 KB · Views: 20
  • images - 2023-01-07T223910.518.jpeg
    images - 2023-01-07T223910.518.jpeg
    48.4 KB · Views: 17
Back
Top Bottom