Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,134
- 17,871
Kwann sio JKIA 🤣🤣🤣🤣🤣 dunia ishabadilika badilikeni na nyinyi hakuna kitu mutakaa mukiingopa kwa kizazi hichi ambacho kila mtu ni mjuaji
Yani mshazoea kuona watalii wenu wakitua kwanza JKIA hadi wakija direct mnauliza kumeendaje?! 😂😂 Bongolala, hata South Sudan hupokea flights kutoka nje. Swali tunauliza hapa ni kwamba mabati rolling mills yenu hupokea passengers ngapi kwa mwaka ikilinganishwa na viwanja vingine