Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ujumbe mzuri toka kwa hessy.
87e046db9e64a11ab889a0c19d6b3124.jpg
 
HAHAHAAA, hebu uliza kuhusu jambo jingine, mana kwa hizo wharf (bandari kavu) utapata aibu, zmejaa tele kama pishi la mchele, inaelkea huko nai ni kitu cha ajabu sana, coz umeuliza kwa bashasha ukidhani sisi hatuna, then ukaishia kua disappointed, shm

You should understand the question asked before you open your big mouth to laugh, I don't think if there is ICD in dar ,labda mjenge kule Dodoma or mbeya ,what is in dar is called CSF(container storage facility) not ICD Mombasa we have quite a number of them ,and they are not ICD ,our Nairobi ICD is different cause its owned wholly by the government ,CSF are privately owned. key word here is Inland.
 
Hebu onesha tusi kwenye hiyo post. Au unahamu ya kutukanwa? Mtafute madam engineer from mombasa ndo anayaweza, mimi matusi kwetu mwiko. After all sinaga hulka ya kuiga mtu so ntaishi kama nipendavyo, nadhani umenielewa my lovely bro from kibera.

Engineer kweli kawakosesha usingizi hamchoki kumtaja midomoni mwenu? mie nipo hapa kuwapa tiba tu ,,wale ambao hawakufunzwa mie nitawafunza, ilichukuwa kijiji kizima kunilea mie hivo basi nachoshwa kuwaona watu ambao wanajiita wamekoma kuyafanya mambo ya kijinga .
kama wewe ni mwanaume au mwanamke usiwe hivo tu kwa mavazi unayoyavaa wacha tujue kweli wewe mwanaume kwa yale yatakako akilini mwako.
 
guys,is everything OK in kenya?....we are neighbours and we all have problems,let's share them....no need of pretending like you're living in heaven where everything is cool.

tell us what is going on there.
46d9d9b7dbc5a3f92b834c71de95e48f.jpg
d8b05f9893f99f9e335b221225d988fd.jpg
 
ukabila utatumaliza...the guys who were killed were attacking a police station in Bondo with rungus and sticks, so people like Alai were expecting the police to welcome the hooligans with champagne and red carpet...you enter a police station by force, what do you expect? popcorns and drinks?? 😀😀😀 kwa kujibu swali lako, everything is not OK in Kenya..Ukabila is happening
 
poleni sana...sisi huku kwa sasa tunanyoroshwa na sheria ya cybercrime....watu kwenye ma-group ya WhatsApp hawana raha wala amani.

ukiandika au ku-share jambo lolote kwenye group halafu ikatokea kutowafurahisha wenye mamlaka,basi jua lazima utafikishwa police station.

kwenye ma-group kuna ma-snitch ambao kazi yao ni ku-screenshot na kutuma TCRA(tanzania commutation regulatory authority).

imasemekana vijana wengi wana kesi polisi kwa makosa mbalimbali ya kukiuka sheria ya cybercrime.
 
😀😀😀 mpaka whatsapp wamefika?? lakini afadhali nyinyi...sisi hatujui kama kuna uchaguzi ama hakuna...hata rais mwenyewe hajui...sembuse mwananchi...😀😀😀😀sometimes I hate this continent called Africa...
 
😀😀😀 mpaka whatsapp wamefika?? lakini afadhali nyinyi...sisi hatujui kama kuna uchaguzi ama hakuna...hata rais mwenyewe hajui...sembuse mwananchi...😀😀😀😀sometimes I hate this continent called Africa...
TCRA haina access ya ku-control WhatsApp, ila katika sheria ya cybercrime nadhani kuna kifungu kidogo cha sheria ambacho kinamtaka admin wa group ku-report jambo lolote ambalo limetamkwa na sheria kama ni kosa la kimtandao.

pia kwenye ma-group kuna ambao wana screenshot conversion na kutumia sehemu husika...then baada ya hapo lazima utatafutwa tu ili ukatoe maelezo.

ila licha ya hivyo bado watu wanaongea sana na hawaogopi chochote kitakacho watokea....kule fb kuna watz wana funguka sana kuelezea matatizo mbalimbali ambayo kwa namna moja ama nyingine yanasababishwa na serikali.
 
Ukweli wa mambo ni haya. ...mungiki wamepewa silaha na sare na Kenyatta. ...tukumbuke alikuwa ICC kwa sababu ya haya
83858f0f460e5e583e8e7aab47ecad70.jpg
d389d5e2516a4ecad768109118771796.jpg
 
innocent lives 🙁🙁🙁 just because of two leaders...please LETS VOTE EKURU AUKOT...😀😀
 
Ukweli wa mambo ni haya. ...mungiki wamepewa silaha na sare na Kenyatta. ...tukumbuke alikuwa ICC kwa sababu ya haya
83858f0f460e5e583e8e7aab47ecad70.jpg
d389d5e2516a4ecad768109118771796.jpg
OMG tuweken utan pemben, this z too sad jaman, siasa za Africa zinasikitsha sana kwakel, watu wengi wanapoteza maisha kwajil ya mtu mmoja kuchukua uongoz,

Daah, pole kwa wahanga wote huko Kenya, Mungu awasimamie hili lipite salama.

Nawahurumia sana jiran zangu coz this might cost the EAC as well, n on top of that maisha ya watu wasio na hatia yanaangamia
 
joseph kusaga a tanzania media tycoon is about to take over west africa media.

the tycoon who owns clouds tv tanzania,clouds tv rwanda and clouds tv international dubai, is in abidjan-cote d'ivoire for a special business tour.
d8053e0bcff771b0c5b21346d97f8751.jpg
75fa4fbf0a843b14d996cf9edc9287c1.jpg
2583b22926926a9cb32f7afee91b0323.jpg
e7f9c873b6bcac73f2706374beafd47a.jpg
 
You should understand the question asked before you open your big mouth to laugh, I don't think if there is ICD in dar ,labda mjenge kule Dodoma or mbeya ,what is in dar is called CSF(container storage facility) not ICD Mombasa we have quite a number of them ,and they are not ICD ,our Nairobi ICD is different cause its owned wholly by the government ,CSF are privately owned. key word here is Inland.
Right.
watanzania waezi tofautisha
 
Back
Top Bottom