Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
Kama ulikua hujui nikujuze waarabuata awe na buggat hakosi Lexus au vs v8 ni magari wanayoyakubali sana...waarabu ni wapenzi wakubwa a magari ya kijapani piaumechekesha sana kusema Dubai ndiugu...Dubai kuna Bugattis, Lambos...sio mercedes na Toyota...lol!
sijakataa ila kufananisha zile toyota nimeona umeweka pale na Dubai ni makosa makubwa...😀😀my brother has been there and I can tell you the pics I saw were out of this worldKama ulikua hujui nikujuze waarabuata awe na buggat hakosi Lexus au vs v8 ni magari wanayoyakubali sana...waarabu ni wapenzi wakubwa a magari ya kijapani pia
Sure sikatai man...but bentley, mercedez, Lexus, vx v8 sio mbaya. ..sijakataa ila kufananisha zile toyota nimeona umeweka pale na Dubai ni makosa makubwa...😀😀my brother has been there and I can tell you the pics I saw were out of this world
true...Mercedes, lexus hapo nakubaliana nawe...haya sababu hii ni battle, leta picha ya lambo toka DarSure sikatai man...but bentley, mercedez, Lexus, vx v8 sio mbaya. ..
Dubai ni pain in ass nobody can ever touch they're level
Nakusogezea lambo, maserati,Ferrari, bmw nktrue...Mercedes, lexus hapo nakubaliana nawe...haya sababu hii ni battle, leta picha ya lambo toka Dar
goodNakusogezea lambo, maserati,Ferrari, bmw nk
Manzese pako powa, njoo tupige supu ya Pweza.sawa mkuu Manzense vipi?
nimependa
Mini cooper is always good idea