Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi Kenya

tapatalk_1507911722719.jpeg
 
ukisikia kingereza cha kubumba bumba ndio hicho...vocabulary zake hata ukizi-google,huwezi pata maana...ni ukatuni mwanzo mwisho.
hayo ndiyo mambo ya wakenya.....wengi....yaani ni kubum kuba funika funua
 
niukweli muziki haina lugha ila ukitaka kupenya duniani kote ni bora ujue kuimba kwa lugha ya kidunia...Kiswahili ni local sana...hapa tu EA..namheshimu bibiye Jux sana sababu anazungumza kiingereza kizuri sana na anaweza basi akaimba na kiingereza...
Yousou Ndour na Salif Keita wanaimba kwa kiingereza? And mind you, those are renowned musicians known all over the world
 
chokoraa Leo umejaliwa WiFi ya beach sasa ni kutapatapa tu.........jishushe
kweli kabisa....ni mwendo wakudandia tu miseleleko hapa nairobi city center kwa city garden party kwa mbali nakuona unaangaika hapo na hiyo tecno yako ya P2..
 
Back
Top Bottom