Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JKIA
Cv1fD5dWIAIErVE.jpg
terminal.jpg
 
sawa ndugu ila try help me here a little😀😀😀😀what does this map signify? jirani ni kusaidiana😀😀
338155
umechange topic sasa renders zimekushinda😀😀😀😀😀😀😀
wallah napenda renders unazotuonesha😛😛😛😛😛
 
umechange topic sasa renders zimekushinda😀😀😀😀😀😀😀
wallah napenda renders unazotuonesha😛😛😛😛😛
si unisaidie basi kujibu swali hilo kisha nitarudi kwa topic ndugu tafadhali.😀😀😀
 
mungu pokea roho za wakenya waliofariki katika ajari hiyo.

NB:
kwa mwaka huu hii itakuwa ni mara ya tatu au nne kwa jengo la gorofa kuporomoka na kuuwa watu nchini kenya.

hapa lazima kutakuwa na tatizo la kitaaluma katika secta ya wahandisi wanaosimania ujenzi wa majengo nchini kenya.

wakenya kagueni vyeti vya kitaaluma vya hao wahandisi wenu wanaosimamia ujenzi wa majengo yenu ya gorofa.

haiwezekeni majanga ya aina hii yawe yanaikumba kenya zaidi kuliko nchi yoyote EA.
Wakenya si watu wa kujifunza kutokana na makosa ya nyuma, pia sio watu wanaopenda kujiuliza na kujifunza kwa majirani, kwa ufupi ni watu wagumu sana kupokea ushahuri
 
Nairobi dry port.(inland container depot)..do you hav this in tz? 😀😀😀😀
19397085_1368289816539720_2273012197713586584_n.jpg
19397156_1368289856539716_3335577423322157572_n.jpg
19420679_1368289919873043_5326583958723809048_n.jpg
kwa upande wa inland container depot(ICDs),dar es salaam zipo zaidi ya kumi.

nakumbuka last two years baadhi ya ICDs zilifungwa na tanzania revenue authority(TRA) kutokana na kukiuka baadhi ya masharti waliyopewa na serikali na kwa kosa la kushirikiana na wafanyabiashara wasio waaminifu kufanya tax evasion.

hizi ni baadhi tu ya ICDs ambazo zina operate mpaka sasa.
129e809cc425a699a7115d7e42532a81.jpg

db1e7904c910d5e250fb3ded9409b440.jpg
4de7c1b92b8d9ecf1df6927da44f6a7b.jpg
42cad5bdd66f685fd3358fa830145788.jpg
cc659752fd2cfe42f939d47b79d6d2e6.jpg
 
Nairobi dry port.(inland container depot)..do you hav this in tz? 😀😀😀😀
19397085_1368289816539720_2273012197713586584_n.jpg
19397156_1368289856539716_3335577423322157572_n.jpg
19420679_1368289919873043_5326583958723809048_n.jpg
HAHAHAAA, hebu uliza kuhusu jambo jingine, mana kwa hizo wharf (bandari kavu) utapata aibu, zmejaa tele kama pishi la mchele, inaelkea huko nai ni kitu cha ajabu sana, coz umeuliza kwa bashasha ukidhani sisi hatuna, then ukaishia kua disappointed, shm
 
sawa...ila tulia...hasira nyingi na matusi hazitakusaidia...waige wenzako kina ichoboy na kadoda..
 
umetisha kadoda ndiyo wajue kama sisi si watu wa roho mbaya ama roho za ajabu zenye chuki kama wao

peace 4 kenya
mwisho wa siku hawa ni jirani zetu tu...yakitokea machafuko kwao nchi ya kwanza kubeba mzigo wa kuwasaidia ni tanzania na mikoa ya kwanza itakayoanza kupokea mafuriko ya wakimbizi ni arusha,kilimanjaro na tanga kwa upande wa mombasa.

hivyo basi hatuna budi kuwaombea amani.
 
Back
Top Bottom