Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mwisho wa siku hawa ni jirani zetu tu...yakitokea machafuko kwao nchi ya kwanza kubeba mzigo wa kuwasaidia ni tanzania na mikoa ya kwanza itakayoanza kupokea mafuriko ya wakimbizi ni arusha,kilimanjaro na tanga kwa upande wa mombasa.

hivyo basi hatuna budi kuwaombea amani.
😀😀umekuwa jirani mzuri eti...😀😀
 
sawa...ila tulia...hasira nyingi na matusi hazitakusaidia...waige wenzako kina ichoboy na kadoda..
Hebu onesha tusi kwenye hiyo post. Au unahamu ya kutukanwa? Mtafute madam engineer from mombasa ndo anayaweza, mimi matusi kwetu mwiko. After all sinaga hulka ya kuiga mtu so ntaishi kama nipendavyo, nadhani umenielewa my lovely bro from kibera.
 
haya basi jirani yangu yaishe...nina zawadi ndogo nataka nikupe ndugu
zawadi hii hapa
emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png

CzLQacSWQAEb9ct.jpg

🙂🙂🙂🙂😀😀
 
mwisho wa siku hawa ni jirani zetu tu...yakitokea machafuko kwao nchi ya kwanza kubeba mzigo wa kuwasaidia ni tanzania na mikoa ya kwanza itakayoanza kupokea mafuriko ya wakimbizi ni arusha,kilimanjaro na tanga kwa upande wa mombasa.

hivyo basi hatuna budi kuwaombea amani.
kwel kabisa
 
haya basi jirani yangu yaishe...nina zawadi ndogo nataka nikupe ndugu
emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png

CzLQacSWQAEb9ct.jpg
Nashukuru jirani, kumbe ulikua na hamu ya matusi sio, hongera. Hayo si mshazoea kuyakalia mkienda mombasa beaches, najua unahamu na hilo dole, its weekend u knw, unaonaje ukichukua tiketi ya gari moshi from kibera to mombasa ukaungane na engineer kuyakalia??? All the best mzee wa kuyakalia, enjoy your weekend
 
emoji23.png
emoji23.png
nawe pia uwe na weekend njema chokoraa wa Tandale ..
emoji23.png
emoji23.png
kapige raundi Manzense
emoji23.png
emoji23.png
 
kenya kila siku haikosi jambo.
huku inasumbuliwa na maandamo ya NASA,huku inasumbuliwa na magenge ya wakora(wahalifu).
5858a2741b9ea38e1f5bec7d87f406d7.jpg
 
haya basi jirani yangu yaishe...nina zawadi ndogo nataka nikupe ndugu
zawadi hii hapa
emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png

CzLQacSWQAEb9ct.jpg

🙂🙂🙂🙂😀😀
unajihaibisha.....

kunamakamanda wa matusi humu kibao yaani ambayo wakikinukisha utapaona pachungu humu ila wamekausha kimya tu sababu wanajitambua
 
Nashukuru jirani, kumbe ulikua na hamu ya matusi sio, hongera. Hayo si mshazoea kuyakalia mkienda mombasa beaches, najua unahamu na hilo dole, its weekend u knw, unaonaje ukichukua tiketi ya gari moshi from kibera to mombasa ukaungane na engineer kuyakalia??? All the best mzee wa kuyakalia, enjoy your weekend
achana naye maana kwa hiyo nyanja atapotea ......hatujui vizuri watz...achana naye
 
Back
Top Bottom