Magufuli hachafuki kirahisi hivyo, huyu ni kipenzi cha watanzania kwa muda wote, hamjishangai kila mkitumwa mumchafue nyie machawa lkn wapiii wananchi bado wanampenda na wanamkumbuka sanaa.
Huwezi kubadili nyekundu kuwa njano na huwezi kupindua mema aliyoyafanya Magufuli kisa alitaka kumuua Lissu, huyo Lissu hata ningekuwa mimi ndiye raisi alafu ananitukana namna ile nisingemuacha piga ua, ningepita naye mapema sn kuliko hata Magu. Huyo Lissu kwanza hana adabu, ni kweli ana uwezo kiakili lkn hana adabu na ndiyo maana hawezi kuja kuwa Rais wa nchi hata akawange uchi.