Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
🚮Acha kua mjinga kijana unaijua PARIS wewe[emoji3] Miji mizuri yote iko ulaya kwa kila kitu
Watu wote dunian sio wachina,japani,Africa n.k wanapenda kwenda kutalii miji ya ulaya usidanganywe na maskyscrapers ya vioo architectures zipo ulaya kwanzia karne ya 16+ uko
Unajua kwa nini miji mingi mingi ya Asia hata China wamefail kuicopy miji mingi ya ulaya[emoji1]
Nenda kalilie chooniUpuuzi mtupu unaweka humu.
Hakuna matajiri wanaishi kwenye maskyscrapers ya vioo.... wachina wote wanandoto za kiushi Europe [emoji1][emoji1][emoji706]
Unahangaika sana. Shenzhen 100% public transport ni Electric. Hebu tuambie huko ulaya mji gani upo kama Shenzhen?Hakuna matajiri wanaishi kwenye maskyscrapers ya vioo.... wachina wote wanandoto za kiushi Europe [emoji1][emoji1]
Barcelona, Spain....... nguvu ya per capita income View attachment 2502565
Nimesikitika sana kukosa kufanya application ya Block Farming ya Mradi wa BBT mpaka jana kumbe muda umeisha, ila poa ntajipanga kivingine.Watu tunaoishi vijijini leo tumekumbukwa.
Kwanza kuna hewa safi, eneo kubwa la nyumba, vyakula ni fresh kabisa (mfano samaki anatolewa kwenye maji bado anacheza cheza huku nyinyi mnakula wa kwenye mabarafu wana zaidi ya mwezi 1.
Matunda ya kila aina unapata. Ila inategemea ni nchi gani kwa Tanzania karibu nchi nzima vyakula vyote unavipata.
Tunakunywa springs water.
Ila wakuu tusiache kulima na kufuga baadaye itakuwa deal sana, kama mtu huna shughuli nyingi town za kukulazimu uzisimamie angalieni na upande mwingine wa kilimo.
Babu zangu wote walikuwa wakulima na wafugaji sikuwahi kuwaona wanalia shida ya mahitaji mpaka wanakufa waliacha akiba ya pesa kwa watoto wao. Baba zangu waliokuwa wafanyakazi ni vichekesho vitupu.
Tuandae maisha ya uzeeni tukiwa vijana, umri unaenda na nguvu zinaisha.
Naye anakwambia ana gari, Wakenya bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndo mwenyewe wa sinia la bati.
Ulaya walishaendelea zamani hizo,shenzhen ni miji inayochipukia haviwezi kufanana...shenzhen kama majiji mengi yanayochipukia lazima uwe tofauti kabisa na miji ambayo ilishaendelea kama London ama Paris.Unahangaika sana. Shenzhen 100% public transport ni Electric. Hebu tuambie huko ulaya mji gani upo kama Shenzhen?
Nafikiri uko sahihi. Jamaa walitaka teka Dunia 😂Hata ukubwa wa jeshi mwaka 1990 baada ya Reunification Ujerumani ilisaini pact kati yake na Russia+US+UK+France hawaruhusiwi kuwa na jeshi linalozidi wanajeshi 200,000!
Ok kwahiyo China hizi hawana? Basi watakuwa wamepigwa bao hapo, ila ngj nimuite Sama boy 255 aje atoe ushuhuda kama kweli hazipo, na akiwajibu tukagundua kwamba zipo mkae kwa kutulia na mkubali kwamba China haiwezekani mana kuna ambavyo vipo China ulaya na Marekani hakuna ila hakuna kitu kipo ulaya na Marekani kikakosa kuwepo China.Ulaya walishaendelea zamani hizo,shenzhen ni miji inayochipukia haviwezi kufanana...shenzhen kama majiji mengi yanayochipukia lazima uwe tofauti kabisa na miji ambayo ilishaendelea kama London ama Paris.
Na ukiangalia wachina wanacopy style ya USA maana kule ndio wanahizo skyscrapers tangu mwanzo mwa miaka ya 1900s...
Kama wewe unapenda skyscrapers utaona China imeendelea lakini kama unapenda architecture hutashuka kivile
Angalia mfano hizi Suburbs za London Tangu miaka ya 1930s hapa
View attachment 2502609View attachment 2502610View attachment 2502612
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Those are not Police my dear.Kenya police uniform are very UGLY but better than tanzania police 😂View attachment 2502141View attachment 2502142View attachment 2502143
Warathese
View attachment 2502144View attachment 2502145
Kaswali kangu bado mnakakwepa sijajua eidha mnakaogopa au hamjui!Ulaya walishaendelea zamani hizo,shenzhen ni miji inayochipukia haviwezi kufanana...shenzhen kama majiji mengi yanayochipukia lazima uwe tofauti kabisa na miji ambayo ilishaendelea kama London ama Paris.
Na ukiangalia wachina wanacopy style ya USA maana kule ndio wanahizo skyscrapers tangu mwanzo mwa miaka ya 1900s...
Kama wewe unapenda skyscrapers utaona China imeendelea lakini kama unapenda architecture hutashuka kivile
Angalia mfano hizi Suburbs za London Tangu miaka ya 1930s hapa
View attachment 2502609View attachment 2502610View attachment 2502612
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ila wenzetu wameendelea bhn hebu angalia gated community hiyo kwa ukubwa wake, sipati picha kuna ka shit hole [emoji2734] fulani kangekuwa na japo nusu ya hzo classic gated community vile shit holian wangepiga kelele za dunia [emoji116][emoji116]Hakuna matajiri wanaishi kwenye maskyscrapers ya vioo.... wachina wote wanandoto za kiushi Europe [emoji1][emoji1]
Barcelona, Spain....... nguvu ya per capita income View attachment 2502565
Wewe hua unapenda kubishana ili ushinde sindio?haya umeshindaOk kwahiyo China hizi hawana? Basi watakuwa wamepigwa bao hapo, ila ngj nimuite Sama boy 255 aje atoe ushuhuda kama kweli hazipo, na akiwajibu tukagundua kwamba zipo mkae kwa kutulia na mkubali kwamba China haiwezekani mana kuna ambavyo vipo China ulaya na Marekani hakuna ila hakuna kitu kipo ulaya na Marekani kikakosa kuwepo China.
Sasa huo ni uoga, nmesema kama China hawana basi watakuwa wamepitwa kwenye nyanja hiyo ila kama wanazo itabidi tukubali kukubaliana thus y nmemuita sama boy aje atoe ushuhuda.Wewe hua unapenda kubishana ili ushinde sindio?haya umeshinda
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Watu kwenye mitandao wanasema hivi:-Ulaya walishaendelea zamani hizo,shenzhen ni miji inayochipukia haviwezi kufanana...shenzhen kama majiji mengi yanayochipukia lazima uwe tofauti kabisa na miji ambayo ilishaendelea kama London ama Paris.
Na ukiangalia wachina wanacopy style ya USA maana kule ndio wanahizo skyscrapers tangu mwanzo mwa miaka ya 1900s...
Kama wewe unapenda skyscrapers utaona China imeendelea lakini kama unapenda architecture hutashuka kivile
Angalia mfano hizi Suburbs za London Tangu miaka ya 1930s hapa
View attachment 2502609View attachment 2502610View attachment 2502612
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Weka shenzhen na LondonWatu kwenye mitandao wanasema hivi:-
View attachment 2502641