Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Sasa mzee picha zote tunazokuonesha Skyscrapers za kumwaga unauliza nyumba ya mwananchi? Mzee unataka tukuoneshe nini?Ndio nakwambia, hapo shenzen ukiangalia nyumba ya kawaida ya mwananchi na ulinganishe na Munich Germany kwa mfano ndio utaelewa kwa nini nakwambia miji ya China bado sana kwa Europe.
Yani wanatisha sana hawa jamaaKila facility ndani ya Shenzhen sio ya kawaida and u can never get those levels in the western world .. Shenzhen airport .. 👇View attachment 2501822View attachment 2501823View attachment 2501826View attachment 2501829.. NairobiWalker njoo usafishe macho kidogo halafu I dare you uniletee this kinda facity outside china..
Hii subway line ni balaa kabisa..Yani wanatisha sana hawa jamaa
Imefadhiliwa na waturuki kwa kiasi kikubwaTreni ishakua ya waturuki tena 🤣🤣🤣🤣
Germany ndio wanauza machine za kutengeneza machine uko China.Kuna comment sehemu nimesema I always Respect the Germans, they are just quiet unaona tu matokeo
Ukizungumzia Technology kwenye hii dunia basi the Germans are the Legends,
Watu wamekaa lab kwa Karibu karne kadhaa wakachora mkeka wote , halafu leo wanaibuka watoto toka huko Asia wanacopy na ku-paste halafu vijana humu wanataka tuwape credit ? For selling cheap products to Africa ?
Mkubwa apewe heshima yake.
Ll
Na mm naona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa standards za Shenzhen hii Tokyo inakaa informal settlements, disorganized.
Mchinq ni Hatari, kwanza kitu MAGLEVShenzhen - China
Nani alikudamganya hayo maneno hakuna pesa ya mturuki hata senti moja imefadhili reli hii acheni kudanganyana 🤣🤣🤣Imefadhiliwa na waturuki kwa kiasi kikubwa
Kuna comment sehemu nimesema I always Respect the Germans, they are just quiet unaona tu matokeo
Ukizungumzia Technology kwenye hii dunia basi the Germans are the Legends,
Watu wamekaa lab kwa Karibu karne kadhaa wakachora mkeka wote , halafu leo wanaibuka watoto toka huko Asia wanacopy na ku-paste halafu vijana humu wanataka tuwape credit ? For selling cheap products to Africa ?
Mkubwa apewe heshima yake.
Ll
Guys hebu tuache michezo kabisa hapa tunaongelea kamji kadogo tu ndani ya china bado hatujawagusa akina
1. Shanghai
2. Beijing
3. Hangzhou
4. Chengdu
5. Guangzhou
6. Chongqing
7. Nanjing
8. Hong Kong
9. Xiamen
10. Xi An
Germany ndio wanauza machine za kutengeneza machine uko China.
Germany ni moja ya nchi ambazo product zake ni genuine ukinunua ni mkataba hakuna janjajanja
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Shenzhen ni fire 🔥, jana nilikua naangalia miradi ya Shenzhen just miaka 5 ijayo inaweza kuwa Jiji la Kwanza kwa ghorofa 150+Shenzhen View attachment 2501490View attachment 2501494View attachment 2501496View attachment 2501503View attachment 2501507View attachment 2501509View attachment 2501510View attachment 2501515View attachment 2501518View attachment 2501521View attachment 2501522View attachment 2501523View attachment 2501524View attachment 2501526View attachment 2501527unaskia Bro game over. Labda New York ndio inaweza tia pua kwa Shenzhen, lakini sio mji wowote ule kwenye hii dunia tunayoishi ukiitoa China..
Guys hebu tuache michezo kabisa hapa tunaongelea kamji kadogo tu ndani ya china bado hatujawagusa akina
1. Shanghai
2. Beijing
3. Hangzhou
4. Chengdu
5. Guangzhou
6. Chongqing
7. Nanjing
8. Hong Kong
9. Xiamen
10. Xi An
Hapa utakuwa umetupiga. Unapoongelea Technology unaongelea kitu gani kwa context yako?85% ya tecnolojia ya Dunia imechangiwa na ujerumani