Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kuna kitu wakenya huchukulia serious ni right to information. On the same breath, sisi pia hatuogopi kuuliza maswali where certain things don't add up. If Kenyans feel something is amiss they'll push the government or whoever is responsible to the wall until it comes out clean. People literally "bullied" President Uhuru kwa Twitter hadi akatii. Wabongo ni waoga sana no matter serikali yao huwachezea akili itakavyo
Ufisadi mliofanyiwa kwenye SGR na Lapsset ulitosha kuing'oa serikali yenu madarakani lakini wakikuyu walikua wanamtetea uhuru sababu ni mkikuyu mwenzao, ndivyo siasa yenu ilivyo, mkikuyu akifanya ufisadi atatetewa na kabila lake, mkale naye hivyo hivyo, mluo nae hali kadhalika, msijidanganye kwamba hamjulikani mlivyo hovyo
 
Umesema Msitu wa wanyama kama fisi na nungunungu uliopo Nairobi ni bustani ya Eden. Sasa tuoneshe miti ya matunda.
hii hapa
assortment-of-colorful-ripe-tropical-fruits-top-royalty-free-image-995518546-1564092355.jpg
 
Hili dafu linaanguka kwa kasi sana mpaka inasikitisha. Hii ni madhara ya kucheza na macroeconomics on paper when reality catches up it is usually very painful.

Screenshot_20230126-155754_Opera.jpg
 
Ufisadi mliofanyiwa kwenye SGR na Lapsset ulitosha kuing'oa serikali yenu madarakani lakini wakikuyu walikua wanamtetea uhuru sababu ni mkikuyu mwenzao, ndivyo siasa yenu ilivyo, mkikuyu akifanya ufisadi atatetewa na kabila lake, mkale naye hivyo hivyo, mluo nae hali kadhalika, msijidanganye kwamba hamjulikani mlivyo hovyo
Sasa imegeuza swala la right to information kuwa la kikabila. Si unaona mlivyo wahovyo?! Nyinyi ni wanyonge sana ku picket
 
Mbona mmekuwa mkihoji kuhusu uchafu na matakataka ya Nairobi kwa muda mrefu tuu Serikali imefanya nini. Uchafu bado uko palepale tuu.
We will continue doing so until it does something. Wewe niletee mahali popote watanzania wameshinikiza serikali kwa lolote iwe ni mitandaoni ama kwingineko
 
Nyie msioogopa kuhoji imewasaidia nn? Hamna njaa? Unemployment rate haiko hi? Mmemaliza slums? Hamna ukabila? Hamna magonjwa ya aibu kama kipindupindu na gono? Bora kutohoji serikali lkn mahitaji muhimu mnapata aisee
Unaongelea slum wakati Dar nzima ni slum bongolala. Are you even listening to yourself?
 
We will continue doing so until it does something. Wewe niletee mahali popote watanzania wameshinikiza serikali kwa lolote iwe ni mitandaoni ama kwingineko
Kwanza sisi hatufanyi mambo kwa kujionyesha Kama ninyi, sisi hatupigi kelele hovyo Kama watu wapumbavu , lazima kuwepo na sababu za msingi

1)Unakumbuka kelele za kuhoji kwanini Magufuli hakumteua Tena CAG, ambazo zilisababisha Zitto Kabwe kufungua mashitaka katika mahakama ya katiba na hatimae Zitto alishinda hiyo Kesi?

2) Unakumbuka hivi karibuni jinsi watanzania walivyohoji kuhusu mabehewa ya SGR?

3)Unafuatilia jinsi watanzania wanavyopinga uongozi wa Samia Suluhu hasa kuhusu safari zake za nchi za nje?.

Kumbuka kwamba, katika kipengele Cha demokrasia, Tanzania ipo juu ya Kenya.
 
View attachment 2496161View attachment 2496164
Oddly there are houses right in the middle of it
The trees are taller than the houses hence from certain angles it looks like a thick forest. Heavenly. 😍 😍
Things that bongolalas hate to see. They then resort to calling such places forest just because they don't have such in Dar, ni uswazi kila corner.

Imagine living in such a place. The cool breeze from the trees, the chirping birds, the shade, coolness. I mean it's just heavenly. Sadly, our sourthernes neighbours hutamani sana but because they can't have such, they decide to troll and make fun of such a relaxing environment! Poor souls
 
Kwanza sisi hatufanyi mambo kwa kujionyesha Kama ninyi, sisi hatupigi kelele hovyo Kama watu wapumbavu , lazima kuwepo na sababu za msingi
1)Unakumbuka kelele za kuhoji kwanini Magufuli hakumteua Tena CAG, ambazo zilisababisha Zitto Kabwe kufungua mashitaka katika mahakama ya katiba na hatimae Zitto alishinda hiyo Kesi?

2) Unakumbuka hivi karibuni jinsi watanzania walivyohoji kuhusu mabehewa ya SGR?

3)Unafuatilia jinsi watanzania wanavyopinga uongozi wa Samia Suluhu hasa kuhusu safari zake za nchi za nje?.

Kumbuka kwamba, katika kipengele Cha demojrasia, Tanzania ipo juu ya Kenya.
Give me links to any of these allegations. Otherwise, it's hot air
 
Back
Top Bottom