President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Give me links to any of these allegations. Otherwise, it's hot air
Give me links to any of these allegations. Otherwise, it's hot air
Sawa.
Make google your second husband, I am not your husbandGive me links to any of these allegations. Otherwise, it's hot air
Kwa sasa watu wamerudi kwenye umaskini kwasababu yamfumuko wa bei vmza bidhaa muhimu,mtu ambae kipato chake ni 10,000/= kwa siku kama kilikua kinamtosha miaka miwili iliopita sahivi hakitoshi tena na kipato hakijaongezeka.Kwa mujibu wa takwimu za Nguvukazi na soko la ajira Tanzania (Bara na Visiwani) mwaka 2021/2022 lipo jambo ambalo tunapaswa angalau kuona jitihada na kulisema kwani ni hatua ya kuonesha jitihada za makusudi kufikia lengo.
Takwimu zinaonesha umasikini Nchini Tanzania ulishuka kutoka asilimia (34%) mwaka 2007 hadi asilimia (26%) mwaka 2018 kiwango hicho kilihesabika kuwa ni kidogo ukilingnisha na nchi nyingine jirani kama vile; Burundi(65%), Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo (64%), Kenya (36%), Malawi (52%), Msumbiji (46%), Rwanda(38%), na Zambia (54%) isipokuwa nchi ya Uganda ndiyo iliyokuwa na asilimia (21%). Jambo hili Kwa hakika tunapaswa kuona jitihada na kusema licha ya uwepo wa changamoto nyingine nyingi Kwa sababu umasikini ni moja ya maadui wakubwa watatu wa Taifa hili lakini pamoja na hayo bado tunahitaji jitihada za makusudi kuendelea na mapambano dhidi ya umasikini na madhila yake.
Pamoja na hayo takwimu zinaonesha bado hatufanyi vizuri kama Taifa katika meneo mengi ambayo yanaweza kuruhusu adui ( umasikini kujipanga upya). Baadhi ya maeneo hayo ni biashara za mipakani Tanzania inashika nafasi ya 182, ulipaji Kodi nafasi ya 165, Uanzishaji biashara nafasi ya 162, Vikwazo kwenye Uutoaji wa vibali n nafasi ya 149, Ukuzaji wa raslimali watu (Human Development Index (HDI) nafasi ya 163 kati ya 189 mwaka 2020.
Kinachotupa matumaini ni jitihada zinazochukuliwa na Serikali iliyopo madarakani. Hili linatupa hamsa kuwa takwimu zijazo tutakuwa katika nafasi nzuri zaidi.
Kwa sasa watu wamerudi kwenye umaskini kwasababu yamfumuko wa bei vmza bidhaa muhimu,mtu ambae kipato chake ni 10,000/= kwa siku kama kilikua kinamtosha miaka miwili iliopita sahivi hakitoshi tena na kipato hakijaongezeka.
Serikali iingilie kati huu mfumuko wa bei unaumiza sana watu wa chini
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Make google your second husband, I am not your husband



Mbona haipo kwenye list ya miji yenye ma slums duniani au wanaipendelea Dar hawaiweki kwenye list moja na ka NairobiUnaongelea slum wakati Dar nzima ni slum bongolala. Are you even listening to yourself?








kuwekwa au kutowekwa kwenye list sio hoja. Cha muhimu ni kitu kilichopo kwenye ground. Hata Luanda Angola imejaa makazi duni everywhere, just like Dar but they are not mentioned anywhere. Uswazi za Dar zemekidhi definitions zote za neno slum wala usjiliwazeMbona haipo kwenye list ya miji yenye ma slums duniani au wanaipendelea Dar hawaiweki kwenye list moja na ka Nairobi![]()
I knew it was empty talk, as alwaysMake google your second husband, I am not your husband