The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,995
Utajiri unaonekana ground sio kwenye karatasi, tajiri na huwezi hata kufinance road ya 5km kwa pesa za ndani, tajiri huwezi hata ku electrify reli uliyojengewa kwa mkopo na hujatoa hata 100, tajiri na huwezi kujenga hata sm 1 ya BRT, tajiri na huwezi hata kulipa mishahara wafanyakazi wa umma, tajiri na hujitoshelezi kwa chakula, tajiri alafu una CBD chafu imejaa matakataka, tajiri na umejaza ma slums every corner of the country, tajiri gn wewe labda tajiri wa Mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku mkitukaribia kiuchumi unitag, ila kwa sasa na hata miaka hamsini ijayo pole yenu.
Wewe kichwa chako umejaza mavi.Tumekua wapweke sana kwenye hiyo ramani, tumezungukwa na mivivu ya kufa mtu, unakuta nchi kubwa kama Tanzania tunaizidi mara mbili kiuchumi.
Onesha reli ya commuter mliyowahi kujenga, kama hamna basi kaa kmy.Nairobi Commutter rail inacover 150km na tena haiendi only one direction kama brt yenu ambayo hata haifiki 50km
Huwa nahisi ni chongchung cz miandiko inafanana, mana chongchung ni mwamba sn wallahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][mention]Naton Jr [/mention] uko wapi?
Yah man [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Last activity yake ni 02/10/2021
Ila huwa namfananisha na [mention]chongchung [/mention] ila sina uhakika.
Chakula tunanunua sana tu, jeuri ya hela, mngekua na akili hiyo ardhi yenu kubwa ingewatajirisha sana.
Unaeza ku share nasi, sitaki unioneshe highway plz mana najua mnayo moja mmeizindua juzi juzi tu hapa inapita kule kwenye njaa ya dunia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Geza unaeza sema hivo na dar vile hua giza tupu apart from hizi barabara mpya[emoji23] mmeanza kuona Street lights juzi tu sisi tunazo mpaka vijijini
Yah man [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemmis sn yule mwamba ila chongchung kaziba pengo lake ile ile yn aachi upenyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnatumia pesa ipi wakati mnaomba chakula Ukraine?Imebidi tutumie akili kwa kutumia ardhi kidogo iliyopo kulima mazao yenye hela nyingi, ili tutumie hiyo hela kununua mahindi kwenu na kufanya mengine mengi, ndio maana nikasema unaweza ukawa na ardhi ekari moja ukamzidi kipato mwenye ekari mia.
Nani amewahi kupanda ilo ferries wheel aniambie linautamu gani
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile ap
Nimepanda. Ni tamu sana ukipanda alafu unawweza kuona CBD ukiwa juu kabisaNani amewahi kupanda ilo ferries wheel aniambie linautamu gani
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Unaambiwa mabus mazuri 'wanatutengenezea sisi' lkn mabus mabaya kama haya na hilo kwenye tweet ndo yanabaki kenya kufanya kazi π
Ndio maana tunakula dollars za WFP kuwalisha ninyi lazy bonesChakula tunanunua sana tu, jeuri ya hela, mngekua na akili hiyo ardhi yenu kubwa ingewatajirisha sana.
πππππππππππππHuwa nahisi ni chongchung cz miandiko inafanana, mana chongchung ni mwamba sn wallahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ππππππππππππLast activity yake ni 02/10/2021
Ila huwa namfananisha na [mention]chongchung [/mention] ila sina uhakika.
Wakuu tuweni serious hivi mtu akiitwa juu mawinguni tunajuaje, mwamba alikua active mno lakini over sudden tu hayupo hata kucheckin mara moja moja, hii imekaaje sababu alikua active mnoWamefanana miandiko halafu nadhani wote ni Dom.
Ila ngoja [mention]chongchung [/mention] athibitishe mwenyewe.
Magical views of Mount Kenya Glaciers from Embu County
Hilo nalo nenoWakuu tuweni serious hivi mtu akiitwa juu mawinguni tunajuaje, mwamba alikua active mno lakini over sudden tu hayupo hata kucheckin mara moja moja, hii imekaaje sababu alikua active mno