Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya ni Uganda part 2 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huu utaratibu wa kutembea juu ya flyover ni wakishenzi sn, yn Kenya ni the real failed state.
Screenshot_20230118-065207.jpg
 
Huyu amepanic [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa mfano angalia hii picha iliyotengenezwa mtandaoni alafu angalia uhalisia [emoji116][emoji116]View attachment 2485444View attachment 2485445
Unafananisha picha za sehemu mbili tofauti kujifajiriji. Mbona usipost ya hapo hapo Nation center unayodhani ni ya uhalisia alafu tuone kama ni tofauti?
 
Eti nasikia buses zetu zote nzuri pamoja na brt buses huwa ni Kenya wanatutengenezea mbona wao wanashindwa kujitengenezea buses nzuri mpaka wanapanda lorries Tatizo nini?

Kwa mahesabu ya haraka haraka naweza sema labda nguvu ya uchumi wao ku afford buses nzuri ni ndogo ama vipi wadau nimepatia ama nimekosea kwenye observation yangu?
 
Unafananisha picha za sehemu mbili tofauti kujifajiriji. Mbona usipost ya hapo hapo Nation center unayodhani ni ya uhalisia alafu tuone kama ni tofauti?
Kwani hujawahi ona angle nyingine ya picha za hapo ilivyokuwa na rundo la uchafu na mazingira duni. Mara nyingi imekuwa ikiwekwa huku.
 
Eti nasikia buses zetu zote nzuri pamoja na brt buses huwa ni Kenya wanatutengenezea mbona wao wanashindwa kujitengenezea buses nzuri mpaka wanapanda lorries Tatizo nini?

Kwa mahesabu ya haraka haraka naweza sema labda nguvu ya uchumi wao ku afford buses nzuri ni ndogo ama vipi wadau nimepatia ama nimekosea kwenye observation yangu?
Watengeneze bus viwanda vya kutengeneza hizo bus wanatoa wapi, chakula tu shida ndio itakuwa kutengeneza buses, yn nchi kama Tanzania na matajiri wote hao waliojaa waende kufata bus kenya? Nani atapanda hilo bus, me siwezi kupanda hata baiskeli iliyotengenezwa Kenya cz nawajua ni wababaishaji sn hao jamaa.
 
Back
Top Bottom