Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wanajaza mawe ovyo kwenye mitaro ya maji alaf ukiwaskia sasa nye nye nye sisi tumesoma mpaka mwalim alikimbia darasa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hakuna mtu atakulaumu ndio ubongo ulipokomea ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ unless hakuna mtu haijui mombasa
Mombasa imekutesa moyo najua.., mwenzake Dar, hivi karibuni inaenda kukua zaidi ya Dar..., poleni sana, vumilia mtafika tu.,
Dar is Slum Density


Mombasa City Density๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ


Ni kilaza tu atafananisha Mombasa na Mwanza, pole bro, ngojeni miaka mia moja, endelea kujiliwaza na vipicha vya kuchagua chagua๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 
Weka na picha mpya sasa mbn unaweka picha za miaka 20 iliyopita, weka mpya kama sisi tunavyofanya, alafu usichukue picha Google panda bus njoo Tz upige picha kama sisi tufanyavyo msiendekeze ufukara mazee.
I knew you would be at the forefront kupinga hizo picha. Kawaida yenu sana. Eti nije kuzurura uswazini Dar kupiga picha za magari na barabara? Not all of us are that idle
 
Hasira zikiisha nitag plz ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Umekasirika au ???๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nina furaha tele nikikuona vile unahangaika kuikomboa Dar na haikomboleki๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, huyu Murundi anaonyesha vile wewe ni biased, unapekua pekua za kutuma, yeye ametembea randomly kwanza huu mwezi tu, wivu inakunyonga, ni uchungu kuona Dar kwa Nairobi haitoshi mboga, ni uchungu ila zoea๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Hasira zikiisha nitag plz ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Umeumia ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ pumzika na akina Malawi na Msumbiji ndio wenzenu., zoea bro, ukweli inauma..,
 
Tuwe wakweli Tz haijafika level za Kenya kwa uchafu achana na mambo ya blind patriotism.
usafi gani iko Dar wakati only 10% of your city residents are connected to the sewer system. Am sure hata wewe nyumba unayoishi hapo uswazini haina sewer connection unatumia choo ya kuchimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ