Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
nani kakwambia haipo zile lodges mbugani zinazoleta over $2 bln kama revenue ya utalii hukusanyaje kodi?Tatizo Sheria nyingi serikali zilikuwa wamezikalia kimya na watu wakajenga utaratibu kwamba hazipo Sasa wanazitekeleza inakuja nongwa..
Watu hawafahamu kwamba hata fundi ujenzi hatakiwi kufanya kazi yeyote ya ufundi bila kuwa certified na relevant authority na awe na leseni ya kazi,tin namba na awe analipia ada kama registered engineers wanavyofanya..
Siku serikali ikija ku effect hii Sheria utasikia makelele.