Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar es salaam, Tanzania[emoji7][emoji7]View attachment 2479237
Mbona hapa napafahamu sana..,

1673603417239.png
 
Na ukiangalia kwa umakini tanzania ndio inaongoza kwa urban populations sasa waambie wapige hesabu zao kwa umakini 😆😆😆😆😆😆😆 na hapo pia utapata real population below poverty line
Na pia ukiangalia utaona hawajahesabu watanzania wa uswazi, yaani mbali na uswazi 41% wako ndani ya slums!! so tukijumuisha hawa👇👇👇 wa uswazi nyote ni makapuku tupu pale Dar 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1673603787482-png.2479321

1673603962903.png

1673603804054-png.2479322
 
Hizi ni slums kwa dunia ya leo.., yaani Dar is slum 90% na ndio ilivyo makazi mikoani ukatae ukubali, hii ni uchafu na picha ya ufukara, wacha kutetea upuzi tafuta suluhisho maana idadi inaongezeka kwa kasi!!.,
View attachment 2477401
View attachment 2477402
View attachment 2477397
View attachment 2477398
View attachment 2477399

Tatizo lako unaongea kwa hisia pekee bila uhalisia wa kitaalam. Ngoja nikuache uendelee kubakia mjinga hivyo hivyo.
Wewe lete orodha mpya ya slums kubwa duniani kwa ''tafsiri ya kisasa'' kama unavyodai, halafu nioneshe Tanzania.
 
Sasa umekasirika au 🤣🤣🤣🤣🤣 mbona umekua muoga sana siku hzi
Jibu umepata, siku hizi umeshindwa kabisaa, yaani tangu nikukamate hivi haunaga nguvu tena, umebakia mnyonge, unatapatapa sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1673604554976.png
 
Tatizo lako unaongea kwa hisia pekee bila uhalisia wa kitaalam. Ngoja nikuache uendelee kubakia mjinga hivyo hivyo.
Wewe lete orodha mpya ya slums kubwa duniani kwa ''tafsiri ya kisasa'' kama unavyodai, halafu nioneshe Tanzania.
Tumia google earth 3D views, hauhitaji mambo mengi, simple as that, technology inayo kupeleka popote duniani.., kila kitu kimeanikwa wazi wazi, na pia inaumbua eti "expert opinions" uchwara..,
 
Tumia google earth 3D views, hauhitaji mambo mengi, simple as that, technology inayo kupeleka popote duniani.., kila kitu kimeanikwa wazi wazi, na pia inaumbua eti "expert opinions" uchwara..,

Kwa hiyo google ndiyo research findings?? Unaweza ku site authority kuthibitisha largest slums of the world??
 
Back
Top Bottom