Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zipo nyingi tu. Mojayapo ndio hii hapa yenye uswazi pembezoni View attachment 2479572
Hii vipi
tapatalk_1559542785_600x270.jpg
tapatalk_260966940_600x270.jpg
 
Asante kwa picha za google kwanza asante kwa picha za muda mrefu sana 🤣🤣🤣🤣
Wacha tuone same person exploring Dar na Nairobi, yeye sio biased na hana wivu wala chuki na Tz ama Kenya.., kwa propaganda na kuponda hujamba.., mgeni ndio muamuzi, kaa pembeni..,
Nairobi


Dar es salaam
 
Hiv mwanangu hujiskii vibaya.? Unahangaika na picha za ku download Google while akina icho boi wanafika kwenu na kupiga picha wenyewe then wanawavua nguo humu 🤣🤣.. Ningekua wewe ningeshaachana na hii disc..
Wewe wacha kunikosea heshima dogo, eti mwanangu😂😂😂😂😂😂😂😂.., relax, wacha mgeni akwambie wapi kati ya Dar na Nairobi is the most developed and lit..., sio mkenya wala mwenye wivu na chuki kama wewe..,
Dadeki..,


na utum e salamu kwa baba Levo pia...,
 
Wewe wacha kunikosea heshima dogo, eti mwanangu😂😂😂😂😂😂😂😂.., relax, wacha mgeni akwambie wapi kati ya Dar na Nairobi si the most developed and lit..., sio mkenya wala mwenye wivu na chuki kama wewe..,
Dadeki..,


na utum e salamu kwa baba Levo pia...,

Unahangaika sana chalii 🤣🤣🤣, ona fanya hiv kama nauli ya Ndege ni kubwa panda hata basi upitie Namanga me nitaku host hapa DAR.. mana icho boi sio size yako utakufa bure
 
Back
Top Bottom