Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Hii project sijui nani aliiroga, toka enzi za JK Kigoda ni Waziri wa Viwanda inapigwa tu danadana, si waiache kabisa kama hawaitaki? Juzi kaja Kitilya hapa katuaminisha wanapiga ukuta kuanza ujenzi na jina jipya kaupa lakini wapi? Watu wamefidiwa, majumba yamevunjwa, mradi hauendelei…..eiish!!