Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Faza Island, Lamu
images - 2023-01-09T183903.245.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naona viungo lakini hapajaungika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hiko Chombo nacho si mchezo.
Yani huo mlo ni kutupia tuu vitu ndani bila mpangilio mzuri ni kama kutengeneza vuruga tuu na pia mlo wenyewe unafanana na sinia lenyewe.
 
Pinnacle Towers has a court case ndio maana ujenzi ilikwama. Mzizima towers imekuwa na kesi gani ndio ujenzi uende mwendo wa Kobe? Mwaka wa tano leo Kama sijakosea! Hata 88Nairobi ujenzi ilianza just the other day and it's almost coming to an end wakati Mzizima towers wanaweka glasi moja kwa wiki and call it cladding!
Magufuli alipiga stop mashirika ya pension kujenga majengo badala yake wajenge viwanda. Mzizima tower ikawa caught up in between and stalled.
 
Back
Top Bottom