chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,676
- 45,907
Streets in regional economic capital
Sinia limechoka kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2476065
nyama ya mbuzi na groceries kidogo boiled bila mafuta na nyanyaWhat the feck is this?..
Nyama ya ng'ombe na nini?
Huyu ichogal anadhani hatuna mapicha za tzWao ni worse, poverty mashinani and low life, this year nime relax, we already know everything about TZ so far, kwa sasa ni hekaya za abunuasi on display from southerners as they try to save face, yani kuanzia Mwanza to Arusha, Dodoma to Tanga etc.., makazi ni muonekano wa ufukara like over 80% of the areas or ushuzi as they call it.., Tanzania ina mwendo na haikombolewi karne hii ama in this generation and several coming.., ni muujiza utakomboa TZ.
Look at Dar vile inafanana, the commercial capital eti!!!
Mimi sina standards za ufala, i just use the nearest utensil availableHivi nyie hamna standards? Sasa sinia bovu hivyo ni la kuleta chakula mezani kweli?
Hongera kwa kupalilia NCDs.
Haya nipee hio homework basi[emoji23]Mwaka wa tano huu mnasema mtatuma mtu aje aanike uchafu wa Dar lkn cha kushangaza huyo mtu akija Dar harudi uko kwenu na picha mnakosa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sina juu babako ndio unipea [emoji23][emoji23]Unaogopa nn sasa kuna mtu alikuzuia kufanya kazi hio kwanza nauli ya kuja tz na uka survive kwa siku moja unayo ww[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi hatuongei sn ni vitendo tu, waje waseme wenyewe. Hata hawa wa humu wameshaanza kuonja chungu ya "mwakani" tuliyokuwa tunaiimba humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duuhhhh hapo siishi hata kwa kuwekewa bastola kichwani.
Hawauzagi mboga barabarani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa una uhakika sio ( Eneo maalumu lilotengenezwa) la ku shoot movie scene equivalent to Moon Surface [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2476149
Shida ni hilo sinia linaonekana kabisa lipo kilabuni kwa wanywa chang'aa, Wakenya tafadhali naomba msiwe mnapost maisha yenu halisi humu mnajichoresha sn, mwishowe tutaacha battle na nyie maana inaonekana kabisa tuna battle na machokoraa humu.nyama ya mbuzi na groceries kidogo boiled bila mafuta na nyanya
Anza sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya nipee hio homework basi[emoji23]
Pinnacle Towers has a court case ndio maana ujenzi ilikwama. Mzizima towers imekuwa na kesi gani ndio ujenzi uende mwendo wa Kobe? Mwaka wa tano leo Kama sijakosea! Hata 88Nairobi ujenzi ilianza just the other day and it's almost coming to an end wakati Mzizima towers wanaweka glasi moja kwa wiki and call it cladding!Wakenya suala lenu la Pinaccle Tower liliishaje?
Nmeona mkishoboka na cladding ya mzizima towers kwamba inaenda taratibu sana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tuvumilie hadi wamalize,kweli linaenda taratibu sanaPinnacle Towers has a court case ndio maana ujenzi ilikwama. Mzizima towers imekuwa na kesi gani ndio ujenzi uende mwendo wa Kobe? Meal wa tank leo Kama sijakosea! Hata 88Nairobi ujenzi ilianza just the other day and it's almost coming to an end wakati Mzizima towers wanaweka glasi moja kwa wiki and call it cladding!