Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanasema magari zetu za zamani, ndio hizi zao mpya. 2022 model

Foleni-Dar.jpg
foleni-dar.jpg
the-dala-dala-a-minibus-is-the-primary-mode-of-public-transportation-C4334J.jpg

Sasa boss hiyo picha yenyewe ni ya around 2000,
Unataka kuwe na magari ya 2015 ?
 
Tourism 2.4 Bil usd Ili kufika Target ya 5bn usd 2025 .

Trend imerudi kuwa Nzuri but still tunalala kwenye Southern Circuit .

What is done currently

1.Najua Iringa Airport inafanyiwa marekebisho but we need to advertise the southern and western circuits more.

2. Nimeona wanasema Royal Tour Part 2 itakuja na itabase kwenye Southern Circuit tourist sites . Ruaha, Katavi, Kitulo natiaonal parks , Kalambo water falls . This is good from Madam President itafungua zaidi huku

3. Kujengwa kwa Arena anazozungumzia kukifanyika vizuri ni kitu kizuri sana kwa tourism .Event kama Awards , Africa Shows Zitakuwa hosted Zaidi Tz kama tuna venue nzuri

My suggestion to GOT

1.Mafia Island Has a lot of potential to bring even 100k tourist a year .Build a bigger airport and Atttact more investors

2.Pemba Island is still underperforming , tho nimeona wanaaza kujenga International Airport soon

3.Dar es Salaam na Zanzibar zinahitaji Cruise terminal na Water front projects ,

Hasa Dar ambayo iko business based bado , Kigamboni, and some small island can still perform well

4.Medical tourism trend is good we should build more Big Hospitals and train more we should really take this serious .But the efforts are good

5.New Confernece Centre In Arusha , revive the Mount Kilmanajro Conference centre Project. It will rival Kigali Conference centre
 
Sheria zetu zimewekwa kuwezesha wananchi kutuliki ardhi na kupewa hati miliki. Nyinyi sheria zenu zimewekwa kuwezesha wananchi kulease ardhi kwa kipindi cha muda fulani. Hapo ndio hub tofauti kati yetu nanyi. Sasa msisemange kwamba wakenya hawamiliki ardhi coz it's not true.

Hayo mambo mengine yote umeguzia (fidia nk) ziko sawa tu na huku kwetu pia

You are so foolish and ignorant my friend, who told you tha Tz hawapewi hati miliki ya ardhi na wizara ya ardhi ?
and who told you serikali hunyanganya watu land without compensation?
 
Tourism 2.4 Bil usd Ili kufika Target ya 5bn usd 2025 .

Trend imerudi kuwa Nzuri but still tunalala kwenye Southern Circuit .

What is done currently

1.Najua Iringa Airport inafanyiwa marekebisho but we need to advertise the southern and western circuits more.

2. Nimeona wanasema Royal Tour Part 2 itakuja na itabase kwenye Southern Circuit tourist sites . Ruaha, Katavi, Kitulo natiaonal parks , Kalambo water falls . This is good from Madam President itafungua zaidi huku

3. Kujengwa kwa Arena anazozungumzia kukifanyika vizuri ni kitu kizuri sana kwa tourism .Event kama Awards , Africa Shows Zitakuwa hosted Zaidi Tz kama tuna venue nzuri

My suggestion to GOT

1.Mafia Island Has a lot of potential to bring even 100k tourist a year .Build a bigger airport and Atttact more investors

2.Pemba Island is still underperforming , tho nimeona wanaaza kujenga International Airport soon

3.Dar es Salaam na Zanzibar zinahitaji Cruise terminal na Water front projects ,

Hasa Dar ambayo iko business based bado , Kigamboni, and some small island can still perform well

4.Medical tourism trend is good we should build more Big Hospitals and train more we should really take this serious .But the efforts are good

5.New Confernece Centre In Arusha , revive the Mount Kilmanajro Conference centre Project. It will rival Kigali Conference centre
Wameanzisha na Utalii wa michezo hasa golf wanajenga Serengeti.

Utalii wa Kusini , Barabara ya kwenda hifadhi ya Ruaha tenda imetangazwa,

Barabara ya kwenda hifadhi ya Kitulo ujenzi Umeanza.
 
Ubungo,
Some 10kms away from CBD
In some small towns like Nairobi there is no 10km from cbd.
View attachment 2471635
View attachment 2471636
View attachment 2471637
First of all, Dar is a coastal city with the CBD on the ocean. Thus it only stretches half the directions Nairobi stretches. One side is just a body of water.
Secondly. there are better roads than these 50km from Nairobi. Waiyaki way stretches 30km from CBD and its fully dualed. Thika road stretches 150km from the CBD and fully dualed. Mombasa road stretches 50km from the CB and fully dualed. Your longest dual carriageway from the CBD is barely 20km.

15km from CBD
4ba60ed32bb31854.jpg

20km from CBD
Nairobi%20Expressway%27s%20Mlolongo%20entry%20and%20exit%20points..JPG

40km from CBD
juja-Kenya-e1610015198822.jpg

28km from CBD
Msa-rd-Namanga-rd-interchange.jpeg
 
Back
Top Bottom