Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Narok County Referral Hospital. Good progress thanks to devolution.

Image



Image


Image
 
Land rates applies hata huku kwetu. Tofauti ni kwamba sisi tunamiliki ardhi na tunapewa tittle deeds na wizara ya ardhi. Nyinyi, on the other hand, mnalease ardhi kutoka kwa serikali. When you lease something, you can't claim it's yours. Haya ni mambo mawili tofauti kabisa. Cha ajabu ni kwamba kila siku hapa mnasema wakenya hawamiliki ardhi while in real sense ni nyinyi ndio hammiliki ardhi
kama wananchi hawamiliki ardhi, serikali ilipowafidia watu wakati wanatayarisha sehemu ya kujenga reli ya SGR walikuwa wajinga?
Sheria zetu zimewekwa kuwezesha wananchi kutuliki ardhi na kupewa hati miliki. Nyinyi sheria zenu zimewekwa kuwezesha wananchi kulease ardhi kwa kipindi cha muda fulani. Hapo ndio hub tofauti kati yetu nanyi. Sasa msisemange kwamba wakenya hawamiliki ardhi coz it's not true.

Hayo mambo mengine yote umeguzia (fidia nk) ziko sawa tu na huku kwetu pia
Tunazo hatimiliki za ardhi. Hawa madalali wanao uza viwanja kila siku unafikiri wanafanya ukora?
 
General Jeff Nyaga mwenyewe, wabongo wananyongwa na wivu ju walifail in DRC.

Image


Bongolalas I hope munaona huyo mkubwa wa jeshi yenu anafwatilia commands kutoka kwa nani.
Image





Image
Where is KDF

Screenshot_20230107-010343_Opera.jpg
 
Congo teyari Tanroad wanawajengea barabara kule Karemi. Tanroad wangechangamka wangeweza kuwa na kampuni kama ile ya ujenzi ya serikali ya China.
Tatizo upigaji tuu... China zile ni kampuni za Serikali ila zinajiendesha kama private zikiwa nje ya Nchi Yao.

Zikipata dili kubwa serikali Yao ndio inawakingia kifua Kwa funds, lobbying etc.. Wanasaidia ku export nguvu kazi nje ya Nchi.. Serikali inakuwa inajitengenezea ajira huko maana ndani kumejaa.

Hapa pia wangefanya hivyo, Kuna tactical advantages kubwa sana.. Upande wa marine, telecommunications and transport industry.. Tungeweza ku dominate ukanda huu vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo upigaji tuu... China zile ni kampuni za Serikali ila zinajiendesha kama private zikiwa nje ya Nchi Yao.

Zikipata dili kubwa serikali Yao ndio inawakingia kifua Kwa funds, lobbying etc.. Wanasaidia ku export nguvu kazi nje ya Nchi.. Serikali inakuwa inajitengenezea ajira huko maana ndani kumejaa.

Hapa pia wangefanya hivyo, Kuna tactical advantages kubwa sana.. Upande wa marine, telecommunications and transport industry.. Tungeweza ku dominate ukanda huu vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano
1.Songoro Marine wamaweza kuwa supported zaidi
2.Kwa za serikali Stamico , Tanroads , TBA, Hii inasaidia kuongezeka kwa Export of services nje ya nchi na kuleta flow ya Dollar ndani
 
Tanzania Export of Goods and Services Year Ending Nov 2022 ilikuwa 11.94bn Usd

Export of Goods Alone 7.2 Bil Usd
Manufactured Products imepanda to 1.6Bil usd

Services Export
Tourism 2.4 Bil Usd From 1.4mil tourist
I think we will clock 1.6mil tourist and 2.7Bil usd from Tourism Report ya December 2022 Ikitoka next Month

Transport 1.9Bil Usd

Transport Itaongezeka Zaidi as SGR Ikiisha ,Plus Ports za Lake Tanganyika na Lake Victoria zikifanya vizuri zaidi.

Services Export Zinaweza kuongezeka zaidi tukiwa Tuna Company zitazoenda Kufanya Kazi nje ya nchi Kama za Ujenzi , IT companies , Law Firms

Mchuchuma Na Ligannga Ka Tutafanyia Kazi , Coal and Iron Export zinaweza pata Jedwali lake kama Gold

Pia over the Years LNG
Screenshot_20230105-213711_ReadEra.jpg
Screenshot_20230107-070521_ReadEra.jpg
 
Kwenye Manufctured Goods
Exports at 1.6Bil usd
The Trend is good

1.Ila Kukamilika kwa Sino Tan Industrial Park Kutaboost revenue zaidi, inakuwa Expected revenue from The Industrial Park Zitakuwa 6bn usd kwa Mwaka from the industrial park if 50% if that is exported that is 3bn usd .

2. Itracom Fertilzer Plant at Dodoma

3. Kufufua , The Abadoned project of 1bn usd fertilzer plant in Mtwara that uses Gas
.
Alot of African countries ni agri based with SgR , and our ports revamp projects .Fertlizer is a big deal in Zambia , Malawi, Burundi, Rwanda , Kenya

My Suggestions

1.What GOVT and Us Citizen Should do ni kuinvest Kwenye more industries ,

Mfano recently nimenotice Hospital tunatumia IV fluids from Kairuki Pharmacetucial industry in Kibaha

2.Attract More Industrial Parks Along the SGR line .

3. Industrial Park Near Country Borders mfano Kigoma or Kagera to serve Burundi ,Rwanda Etc
 
Mfano
1.Songoro Marine wamaweza kuwa supported zaidi
2.Kwa za serikali Stamico , Tanroads , TBA, Hii inasaidia kuongezeka kwa Export of services nje ya nchi na kuleta flow ya Dollar ndani
Kabisa mkuu.

Hayo ndio mambo wanatakiwa wafanye. Maana kama hawana nafasi za kuajiri ndani bhas wawezeshe mashirika hayo yajitanue nje huko yachape kazi. Watu watapata ajira na fedha za kigeni zitaongezeka.

TPA ingejenga ICDs huko nje. Wanasiadiana na TRC wanapelekea Watu mizigo Kwa haraka.. Na Watu wa mapato wanakuwa na dawati lao hapo. Mteja ana agiza vitu online tu na clearance anafanya akiwa Lubumbashi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom