Alaf kumechakaa kweli kweliutasema pamepigwa bom



Gari ina miaka 20 iko airport hapo 🤣🤣 miaka hii wanafkiri watamdanganya nani
Ka Nairobi kenyewe hakaingii kwa Zanzibar, ukitoa vi flyover juakali na vi estate vya mchongo vyenye bati nyekundu juu ka Nairobi hakaiwezi Zanzibar amini kwamba.Anakuja mwehu fulani wa huko kundustan anafananisha Zanzibar, ile paradise ya Africa nzima na Mji mchafu na wa hovyo kama mombasa,
Zanzibar is viewed by the world as one of the World’s best travel destinations,
View attachment 2471815
View attachment 2471816
View attachment 2471817
View attachment 2471818
View attachment 2471819
Naomba niandike kwa herufi kubwa,
KATIKA VITU AMBAVYO VINANIKERA SANA SANA NI UJENZI HOLELA, AISEE HII KITU INANIUDHI MNO, ALAFU BADO HUU UJENZI HOLELA UNAENDELEA MPAKA SASA TUNAVYOONGEA NA SERIKALI IMEKAA KIMYA KAMA HAKUNA KINACHOENDELEA. DAR MAENEO MENGI BADO HAYAJAJENGWA LAKINI YAMEVAMIWA NA YANAJENGWA HOVYO HOVYO NA HAKUNA HATUA ZOZOTE ZINAZOCHUKULIWA, WATU WANAKATIANA VIWANJA LAKINI WANAACHWA TU, UNAKUTA NYUMBA ZIMEJENGWA NZURI LAKINI HAZINA MPANGILIO INAONEKANA NI UCHAFU TU.
NAJUA HILI NI TATIZO LA AFRICA NZIMA LAKINI SISI TUSIACHE LIENDELEE KISA NI TATIZO LA AFRICA NZIMA NI UJINGA.
So where is the clogged water?Poor drainage system as usual! Chinese doing Kundustans!
![]()
Imagine hayo maghorofa ndani yakoje, imagineMa slums yametapakaa kila kona ndani ya Kenya, hii hapa ni Githurai slum mtu anataka kufananisha na Tandale, Watz tumshukuru Mungu japo tuna shida zetu flani flani ila sio kama Kenya, wao wenyewe wanaujua ukweli.View attachment 2469725View attachment 2469727View attachment 2469728View attachment 2469729View attachment 2469731View attachment 2469732
There is nothing called Nairobi township. Don't be Ichoboy.I am talking about nairobi township, sasa mlolongo si ni Machakos ?
Hakuna mji unaokaribia Zanzibar huko kundustan republic.Zanzibar ni yakufananishwa na miji mizuri kama Venice au Hannover au Basel ,
Sio takataka kama mombasa,
Watu wanadhani kupaka rangi za bluu kwenye majengo kuukuu na kujenga vijengo viwili vitatu vya ghorofa 10 mombasa basi tayari utalingana na mji wenye hadhi na heshima duniani kama Stone Town ?
View attachment 2471830
View attachment 2471831
View attachment 2471832
View attachment 2471833
View attachment 2471834
View attachment 2471835
View attachment 2471836
View attachment 2471837
View attachment 2471838
Ni wale wanaoshindwa kuhimili japo msosi au uongoWatu masikini hapa EA wanajulikana ni akina nani na hilo lipo wazi











Siku kenya mkifikia hapa mniambie
Kunduchi Wet 'N' Wild Water Park
![]()
![]()
![]()
Mombasa ni takataka kwa Zanzibar.Meanwhile, huko Kundustan,
Mombasa airport,
Halafu wanafananisha na Zenji.
View attachment 2471890
View attachment 2471891
View attachment 2471892













MY TAKE
Better than anything in Kenya aka Kundustan!
Water park kubwa kuliko zote East and Central Africa.
Jamaa fala sana hawa, ukiwaambia Dar ni kubwa mara 4 ya Nairobi wanakuambia hata newyork ni ndogo kwa Dar, ukiwaaonesha development ya 30km away from CBD wanaenda kukuletea County ya murang'a eti nayo ni Nairobi 😂😂😂Naona munaendelea kumpa zwazwa dawa zake ili apone 😆😆😆😆 anatuonesha mapori na barabara 15km and 20km away from cbm
Because I have an independent mind, so I post what I want.Why not post Mount Kenya instead ?