Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanasema magari zetu za zamani, ndio hizi zao mpya. 2022 model [emoji1787] [emoji1787]

Foleni-Dar.jpg
foleni-dar.jpg
the-dala-dala-a-minibus-is-the-primary-mode-of-public-transportation-C4334J.jpg
Gari nyingi barabarani kwa ss ni number E, D na kdg C.
image_downloader_1673021595228.jpg
image_downloader_1673021459707.jpg
image_downloader_1673021401780.jpg
image_downloader_1673021313883.jpg
 
Watakumbia no picha za 90s [emoji23]
Kwani uongo, we kwani hujui hapo kuna mwendo kasi au tukuletee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tz imewaacha kwa ss pambaneni aisee mfike tulipo.
 
Na hiyo picha ya kwanza ni pale Uhuru round about ishavunjwa miaka mingi na BRT lanes za awamu ya kwanza zinatumika na awamu ya tatu zinakztisja soon hapo.

Msimbazi street by indaressalaam, 於 Flickr

Msimbazi/Uhuru street by indaressalaam, 於 Flickr
Tatizo hawapendi kuona tupo juu yao, wapambane na reality sio sisi. Mwengine atakuletea picha ya tazara ya mkapa lkn hii ataiona alafu anairuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
image_downloader_1673021278751.jpg
 
Sheria zetu zimewekwa kuwezesha wananchi kutuliki ardhi na kupewa hati miliki. Nyinyi sheria zenu zimewekwa kuwezesha wananchi kulease ardhi kwa kipindi cha muda fulani. Hapo ndio hub tofauti kati yetu nanyi. Sasa msisemange kwamba wakenya hawamiliki ardhi coz it's not true.

Hayo mambo mengine yote umeguzia (fidia nk) ziko sawa tu na huku kwetu pia
Nani sasa hapewi hati miliki?
 
Usichojua wewe ni kuwa Dar City ina implementation underground electric systems mwaka wa 7 huu hivyo nguzo zinazidi kupungua siku hadi siku.
Mngeanza na kutarmac hizo barabara zenu mbovu. Missplaced priorities.
 
Wakundustan zamani walikuwa wanajifanya eti wanàshangaa Tz kuwa na infrastructure za kisasa nafikiri siku hizi sisi ndiyo huwa tunashangaa tukiona Wakenya nao wanataka kujenga infrastructures za kisasa kama sisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakundustan nakupeni miezi sita kutoka sasa yani hii battle mtaikimbia mtake msitake mana yajayo yanafurahisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom