Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi nyingi tuu duniani mtu hamiliki ardhi bila masharti. Serikali nyingi zinauwezo wakukunyang'a ardhi muda wowote, usipokamilisha matakwa fuani. Mfano usipolipa kodi ya ardhi, mali inapigwa mnada.
Land rates applies hata huku kwetu. Tofauti ni kwamba sisi tunamiliki ardhi na tunapewa tittle deeds na wizara ya ardhi. Nyinyi, on the other hand, mnalease ardhi kutoka kwa serikali. When you lease something, you can't claim it's yours. Haya ni mambo mawili tofauti kabisa. Cha ajabu ni kwamba kila siku hapa mnasema wakenya hawamiliki ardhi while in real sense ni nyinyi ndio hammiliki ardhi
 
The skyline
hilohelen_1672994922916148.jpg
hilohelen_1672994973262437.jpg
 
Narudia tena, ushamba mzigo jomba
Ushamba unakuja pale we unacho alafu kwa muda mrefu zen unaweza kumuona mtu mshamba, mfano mwenzio let say kapanda ndege kapiga picha yuko angani kama wewe umepanda sn ndege unaweza kumuona mshamba, lkn co umuone mwenzio mshamba kwa kupiga picha akiwa angani wkt ww hujawahi na unatamani siku moja itokee, hapo sio ushamba bali ni wivu unakusumbua.

Again, onesha kama hyo kwa public hospitals au hata private kunako shit hole country ya kundustan kama hakuna piga kimya au kalilie kwa choo
 
Acha nikunyamazie coz umetumia nguvu nyingi sana kutetea ushamba. Hizo mashini zimejaa kwenye banking halls zetu nashangaa huko kwenu ni big deal sana
 
Land rates applies hata huku kwetu. Tofauti ni kwamba sisi tunamiliki ardhi na tunapewa tittle deeds na wizara ya ardhi. Nyinyi, on the other hand, mnalease ardhi kutoka kwa serikali. When you lease something, you can't claim it's yours. Haya ni mambo mawili tofauti kabisa. Cha ajabu ni kwamba kila siku hapa mnasema wakenya hawamiliki ardhi while in real sense ni nyinyi ndio hammiliki ardhi
g.png

Nchi mbali mbali huwa zinatumia lugha tofauti katika kuelezea sheria za umiliki ardhi. Lakini serikali ndiyo mmiliki halisi wa ardhi na inauwezo wa kumnyang'anya mwananchi yeyote hata kama anayo hatimiliki. Kama atakiuka sheria, ikiwemo kutokulipa kodi.
 
Back
Top Bottom