Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii inakaa ulaya kabisa aisee, ustaarabu huu wakundustan hawauwezi.
Just imagine ni public hospital halafu hata sio Dar

Digital, hata kulipa gharama kwenye hospitals zetu zote ni cashless, kunyaland hospitals bado wanalipa cash na hakuna electronic payments kama Tanzania

FlsjE9uX0AIdknp.jpeg
 
Just imagine ni public hospital halafu hata sio Dar

Digital, hata kulipa gharama kwenye hospitals zetu zote ni cashless, kunyaland hospitals bado wanalipa cash na hakuna electronic payments kama Tanzania

View attachment 2470400
ukituonyesha moja kama hiyo in the whole of Kunyan itakuwa bomba! BTW hiyo ni mashine ya ku-print waiting number badala ya kukatiza foleni!
 
arusha👇🏽
1000_F_472967043_RPTOU6rwrfpJGwAm99sTXMG5NTEhlLKg(0) (1).jpg


but if ratings were conducted rightnow by knightfrank or pricewaterhousecoopers or any other reputable international consultancy firm, between eldoret and arusha..
just hear from me.. the city of eldoret would still carry the day!

katika swala la quality cities.. kenya🇰🇪 undress tanzania🇹🇿 pants down.! na mnizidi kufahamu hilo akili mwenu.!

please watch this new 2023 clip that was just released 2days ago! from start till end.. then get back to me later we discuss.. then u ll realy understand what i was trying to mean here oo!

nb: pia sawa na kisumu.. eldy haina uswazi uliotapakaa kila pembe kama hizo miji zenu ovyo!

here👇🏽 eldoret city to feed your eyes guyz😳




eldoret cityscapes!
Screenshot_20230106-053850_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-020703_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-024952_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-021121_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-051353_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-053456_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-053514_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-052708_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-052325_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-051535_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-025038_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-051453_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-025813_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-025913_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-025611_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-050844_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-023954_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-022518_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-023842_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-024541_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-024826_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-020942_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-025403_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-051516_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-023737_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-053623_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-054013_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-023319_YouTube.jpg
Screenshot_20230106-053001_YouTube.jpg


and imagin according to kenyan standards, this town has not been given a 'city status charter yet!🤔

na try tu ku imagine huu ni mji ungekua kule bongo, yaani humu ndani hapange kalika walai.. 🤔
 
Watu waruhusiwe kumiliki ardhi sio ku lease ardhi from the government. Mwekezaji akimiliki ardhi atakuwa huru kuwekeza ila kama ni lease hold wawekezaji watakuwa wanaogopa kuwekeza maana serikali inaweza ikafuta hiyo lease muda wowote. Huko nyuma ilishatokea yule mzungu wa Arusha alivyonyanganywa mashamba mpaka kupelekea ndege zetu kukamatwa south africa na canada.
Hii sheria yetu ya ardhi imekuwa hivi toka 1920, Nyerere aliirithi tuu. Na ndiyo sababu kubwa ya sisi kutokuwa na slums kama Kenya na Afrika kusini.

Ile ishu ya kukamatwa ndege ilikuwa ni mpango madhubuti wa kumtibua Magu. Deni hilo lilikuwepo miaka mingi, mbona hawakuizuia rada iliyonunuliwa na serikali ya Mkapa?

Wakiibadilisha hii sheria, wakina Manji watanunua fukwe zote, halafu watakao mudu gharama watakuwa wageni na watanzania wachache. Na kwa akili zetu ndogo, hata mlima Kilimanjaro utakuja kukodishwa kwa muwekezaji siku moja.
 
Land ownership and land leasing ni vitu viwili tofauti. Huwezisema kwamba anayemiliki ardhi na yule anayelease kutoka kwa serikali wako level moja. Whether you lease it for 99 years, the thing is that at some point the government will come for its land and this will affect your generation in one way or the other.
Nchi nyingi tuu duniani mtu hamiliki ardhi bila masharti. Serikali nyingi zinauwezo wakukunyang'a ardhi muda wowote, usipokamilisha matakwa fuani. Mfano usipolipa kodi ya ardhi, mali inapigwa mnada.
 
Mortgages ni mambo ya kizungu? Mikopo Kwa ajili ya malipo ya nyumba sio mambo ya kizungu. Sema kuwa ni formal zaidi ya njia tulizozizoea nchini. Na ni nzuri. Kama huwezi kulipa gharama yote ya nyumba out of pocket, mikopo Ndio option yako pekee. Pia kuna situations nyingi tu ambazo mtu analazimika kulipia nyumba kutumia mortgages Hata kama hela yote ya kulipia nyumba anayo. Kwa mfano, mtu anaweza kuwa na expenses nyingine kubwa kama kulipa Ada za watoto shule ama chuo.

Kuweka Sheria sio tatizo. Issue ni kuhakikisha sheria zinafuatwa na kila mtu. Unadhani serikali inaweza ku-afford kusimamia kila mtu anayejenga nyumba? Ni rahisi zaidi kama majority ya nyumba zikijengwa na housing developers Maana wana-submit proposals za nyumba wanazotaka kujenga kisha serikali za miji ndio zina-approve au kukataa. Otherwise Hii proposition yako si viable.
Tulikuwa na THB, Tanzania Housing Bank, hii ililenga kufinance real estate business, ikafa baada ya wananchi kuanzia kujijengea holela. NHC nayo ikakosa pumzi kabisa.
 
hawa wenye shobo na MGR train yetu ndo tunawapa bandari yetu!
Mjambiani ni mpumbsvu tu ...sababu ni uchawa wa wahindi wahindi ni machawa wazuri kuwatumia kifisadi ndiyo maana ccm ya samia inafanya hivyo na wasiri sana kwa maboss wao wa uchawa hivyo madawa ya kulevya na ufisadi mwingi utafanikiwa kimya kimya bila kelele.
 
Naona guzo za miti mlizo tuaminisha kuwa kenya .meachana nazo na nyaya zilizo fungwa kama mtoto wa chekechea kafunga kwenye nguzo ..unprofession
Hapo kwenu hamna nyaya za stima. Ni vumbi tu kwa high end neighborhoods. Kule kwa hohehahe ukitoa main road hawajui lami ni nini. 🤣 🤣 🤣

20221124_135741-jpg.2439637
 
Unajua watu wanachukulia poa treni kwenda kwa 160km/h hiyo ni kasi kubwa sana inatosha sana maana kwa sasa sijui hata kama km60 hadi km70 tuna kwenda
Alaf ni vitu haviingii akilini tujenge reli ya 100 yrs to come alaf iishie speed ya 160 pekee ni kitu hakiingii akilini kuna siri kubwa juu ya reli hii yetu na serekali haiwez sema kila kitu
 
Back
Top Bottom