Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi mmejenga flover ngapi hapo kwenu last year tulinganishe na zetu?
Mzee Nimeshaanza hapa: Wewe leta yako. Hapa ni Dar

1673003515087.png
 
Samia Housing inaendelea. Wewe unaongelea vitu ambavyo vilishafanyika. We want new project.
Wewe umekataa BRT, SGR, Dodoma Development halafu unatuletea miradi ya Uhuru Kenyatta 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Haya post tuone picha. Affordable housing inaendelea. Kuna zenye zimakamilika ila hazijazinduliwa.
 
Nakubaliana nawe kwa mambo mengi uliyosema, especially uwezekano wa serikali kukunyanga'nya ardhi if you don't comply with certain rules, lands mojawapo. Lakini ukweli ni kwamba serikali ikikukodishia ardhi, it reserves the right to renew that lease or reject it all together. Ki ufupi ni kwamba you are at the mercy of the leaser (the government). If it decides not to renew tht lease, you have nowhere to complain even if you have been paying land rates.
Ndiyo maana nikasema, ni jinsi tuu sheria ilivyoandikwa katika nchi husika. Tanzania sheria imesema wazi kuwa serikali chini ya Rais ndiyo mmiliki wa ardhi. Katika nchi nyingi sheria haijatamka wazi kuwa ndiye mmiliki ila serikali zao zina njia nyingi ya kuichukua hiyo ardhi wakati wowote itakapotaka.
Huku kwetu, ukulipia rates as the government expects of you, you have no reason to worry coz ni kama tu kulipa taxes which is an obligation of every law-abiding citizen. Hakuna siku serikali itakuwa na usemi kwa ardhi yako kwa sababu wewe ndio mmiliki.
Hata Tanzania serikali haiwaondoi watu kwenye ardhi yao hovyo hovyo, ni pale tuu kunapokuwa na sababu ya muhimu kwa manufaa ya umma, mfano ujenzi wa reli, bomba la mafuta, sababu za kiusalama (ardhi kutitia) n.k. Serikali ikiomba watu kuondoka, wanatakiwa kupata fidia.
 
Back
Top Bottom