Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanasema magari zetu za zamani, ndio hizi zao mpya. 2022 model 🤣 🤣

Foleni-Dar.jpg
foleni-dar.jpg
the-dala-dala-a-minibus-is-the-primary-mode-of-public-transportation-C4334J.jpg
Car yard za bongo zinauza magari zikona over 15 years, eti hizi ni fresh imports kutoka Japan. 😂😂😂 Hio line up yote hakuna gari KRA wanaweza kubali iuzwe Kenya in 2023 as an imported vehicle.

And remember that's the only golf course there is in Dar 😂😂😂
Nairobi hata sijui ziko ngapi. Na bado kelele zinapingwa huku na mibongolala
Huyo mwarabu bandia hua mshamba sana. 🤣 🤣 🤣
Yani wakenya wote wamejikusanya dhidi ya mm mtu mmoja 🤣🤣🤣🤣 hii inaonesha kua mm ni mmoja wa maadai wakubwa ninaowaumbua sana na hawanipendi kaaaah na yule mtu wao zwazwa nae anashangilia kisa nimemuumbua kuhusu znz ilivo tamu anafkiri hatuijui mombasa

Ndugu wakenya naomba muendeleze chuki na mm manake mm napenda zaidi maadui kuliko marafiki 🤣🤣🤣🤣 mwengine anakwambia kibera kuna golf course

Unafkiri huyu kaja kuangalia golf course au kaja kuangalia maajabu ya dunia na kuona ni vipi binaadamu anaeza ishi mazingira ambayo hata nguruwe hawez kuishi

Screenshots_2023-01-06-17-30-21.png

Pia hayo magari yote namba A, Sasa hivi tupo E , na hana aibu anaandika ni 2022. ukisikia kukosa maarifa au taarifa

Na hatujawahi kukataa kuwa magari ya zamani kuwa bongo.
Tatizo ni wao kukataa kuwa magari ya zamani hayapo kwao halafu baada ya muda anapost picha ya kwao magari ya zamani yakiwa yanaonekana.
 
Na hatujawahi kukataa kuwa magari ya zamani kuwa bongo.
Tatizo ni wao kukataa kuwa magari ya zamani hayapo kwao halafu baada ya muda anapost picha ya kwao magari ya zamani yakiwa yanaonekana.

Wanasema magari mengi yao hayazidi Miaka mitano ni uongoo, labda wasema baadhi ya magari yao umri hauzidi miaka mitano toka yatengenezwe kitu ambacho kila eneo yapo.
 
Hivi unajua kwamba Kenya iliunda tume maalumu ya kuchunguza masuala ya "land injustice" iliyopo Kenya ijulikanayo Kama "Ndungu's committee", katika nchi ambazo ilikwenda kujifunza ni Tanzania, na ilipendekeza kwamba Kenya ifuate Sheria za Tanzania katika kumiliki na matumizi ya ardhi. Itafute hiyo ripoti ujisomee.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ingekuwa bora zaidi Kama ungefanya some research on Ndung'u Land Report kabla ya kutoa povu.

That commission was formed to look into issues to do with irregular/illegal allocation of PUBLIC LAND. The function of that commission was to inquire into the allocation of public lands, not private lands, to private individuals. Public lands in Kenya include national and game reserves, recreational parks, schools and hospitals and such. It wasn't about land injustice as you say.
 
Yani wakenya wote wamejikusanya dhidi ya mm mtu mmoja 🤣🤣🤣🤣 hii inaonesha kua mm ni mmoja wa maadai wakubwa ninaowaumbua sana na hawanipendi kaaaah na yule mtu wao zwazwa nae anashangilia kisa nimemuumbua kuhusu znz ilivo tamu anafkiri hatuijui mombasa

Ndugu wakenya naomba muendeleze chuki na mm manake mm napenda zaidi maadui kuliko marafiki 🤣🤣🤣🤣 mwengine anakwambia kibera kuna golf course

Unafkiri huyu kaja kuangalia golf course au kaja kuangalia maajabu ya dunia na kuona ni vipi binaadamu anaeza ishi mazingira ambayo hata nguruwe hawez kuishi

View attachment 2471140

Sasa nani awe na chuki dhidi ya mtu anayeita golf course recreational park. Mtu kama wewe ni wa kuhurumiwaa tu, si wa kuchukia
 
Back
Top Bottom