Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanafosi tufanane, nchi lao wameliharibu now wanafosi kufanana na nchi za watu wenye akili [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yeye ndiyo hawezi kuishi, tuusan au mm pia hatuwezi kuishi unapoishi wewe kwn uongo? Naomba unioneshe mazingira kama haya au nyumba za bati chafu kama hizi sehemu yoyote ile hapa Tz sio tu Dar [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2469972View attachment 2469973View attachment 2469974View attachment 2469975View attachment 2469977View attachment 2469978
Bongolala, mwenzako alisema hawezi ishi yale maeneo ya Dar that I posted in videos na kukiri kwamba ni slums. Usijifanye mwerevu wa kutwist maneno
 
Akili kubwa, nchi lao wameliharibu now wanapambana kufanana na Tz [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1672394606625.jpg
1672394208949.jpg
1672394546568.jpg
tapatalk_2140093531_390x520.jpg
IMG_20221111_082227_573.jpg
 
Na si kila siku hapa tunaambiwa watanzania wanamiliki ardhi, eti kwamba you don't lease from the government? Iweje tena leo maneno yamebadilika?
The way lease ya Tanzania ilivyo ni kama unamiliki ardhi whether 33 years or 99 years is as good as you own it but kisheria wewe sio mmiliki bali ni lessee. The owner of the land ni government and the government reserves the right to alter matumizi ya hiyo ardhi na kuichukua toka kwako kwa fair compensation at market price.
 
Si Kawaida yenu picha zote mbaya huwa ni za 90s!
Hakuna mazingira haya kwa ss hapa Dar, kwanza plastic bags zilishapigwa marufuku mwaka wa nane huu thus y wakundustan wenzako wakija Dar wanashangaa jinsi mji ulivyo msafi, narudia tena hakuna mazingira kama haya Dar kwa sasa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_-1013439181_554x554.jpg
 
Hakuna mazingira haya kwa ss hapa Dar, kwanza plastic bags zilishapigwa marufuku mwaka wa nane huu thus y wakundustan wenzako wakija Dar wanashangaa jinsi mji ulivyo msafi, narudia tena hakuna mazingira kama haya Dar kwa sasa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2470009
Unapopost za Kenya za enzi zile akili huwa zimelala?
 
The way lease ya Tanzania ilivyo ni kama unamiliki ardhi whether 33 years or 99 years is as good as you own it but kisheria wewe sio mmiliki bali ni lessee. The owner of the land ni government and the government reserves the right to alter matumizi ya hiyo ardhi na kuichukua toka kwako kwa fare compensation at market price.
Mbona sioni tofauti na nchi zingine? Ama unatafuta tu sifa?
 
The way lease ya Tanzania ilivyo ni kama unamiliki ardhi whether 33 years or 99 years is as good as you own it but kisheria wewe sio mmiliki bali ni lessee. The owner of the land ni government and the government reserves the right to alter matumizi ya hiyo ardhi na kuichukua toka kwako kwa fare compensation at market price.
Land ownership and land leasing ni vitu viwili tofauti. Huwezisema kwamba anayemiliki ardhi na yule anayelease kutoka kwa serikali wako level moja. Whether you lease it for 99 years, the thing is that at some point the government will come for its land and this will affect your generation in one way or the other.

Huku kwetu, we own land permanently na hakuna siku kizazi chako cha baadae watakuwa affected na government in any way. Kuna tofauti kubwa sana. Cha kushangaza ni kwamba kila siku mnasema hapa eti wakenya hawamiliki ardhi while in real sense its Tanzanians who don't own land.
 
Tourism attraction.

Ndio slum kubwa kuliko zote duniani na wanaisoma kwenye vitabu so anakuja kuangalia je yale yaliyoandikwa kwenye kitabu ni kweli? Anakuja kukuta ni kweli kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanafosi tufanane, nchi lao wameliharibu now wanafosi kufanana na nchi za watu wenye akili [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pitia kwenye hii account ili uwachape vizuri hawa wachafu.
Hii account huwa inapost namna kamji kao kalivyo kachafu.

Si Kawaida yenu picha zote mbaya huwa ni za 90s!
Pole sana, i see the pain 😫 in this comment
images - 2023-01-05T161908.806.jpeg

Hii picha imepostiwa na hii article tar 7 Jan, 2016... almost 7 years ago
Screenshot_20230105-180507_Chrome.jpg

Link hii hapa, scroll down hadi chini uione hio picha
 
Hakuna mazingira haya kwa ss hapa Dar, kwanza plastic bags zilishapigwa marufuku mwaka wa nane huu thus y wakundustan wenzako wakija Dar wanashangaa jinsi mji ulivyo msafi, narudia tena hakuna mazingira kama haya Dar kwa sasa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2470009
[emoji2][emoji2][emoji23]
 
Dhumuni la kuanzwishwa kwa NHC halikua uwekezaji wa nyumba ghali? Shirika lilianzishwa ili kujenga nyumba nafuu kwa wananchi wa kawaida.

Ukiacha maghorofa ya wahindi serikali iliyowanyang'anya, nyumba za kwanza kwanza walizozijenga ni pamoja na yale maghorofa ya Keko Bora kwa wananchi wa kawaida.

Hawa akina Kikwete na Kinana (Rizwani anatumwa tuu) wanayajua yote hayo kwasababu walikuwa vijana kipindi hicho. Ni ulimbukeni wao tuu wa pesa na kuiga iga mambo, wameibadilisha NHC kuwa yakitajiri. kama wanataka kuwa real estate developers, si waanzishe tuu kampuni zao binafsi? Kwa nini watumie mgongo wa serikali?
Thanks brother kwa maelezo mazuri.

Mimi nimezaliwa Ubungo National Housing kwenye nyumba za NHC.
 
Back
Top Bottom