Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Azania Drive, Mombasa
Screenshot 2022-12-09 000249.jpg
 
View attachment 2470750
Nchi mbali mbali huwa zinatumia lugha tofauti katika kuelezea sheria za umiliki ardhi. Lakini serikali ndiyo mmiliki halisi wa ardhi na inauwezo wa kumnyang'anya mwananchi yeyote hata kama anayo hatimiliki. Kama atakiuka sheria, ikiwemo kutokulipa kodi.
Nakubaliana nawe kwa mambo mengi uliyosema, especially uwezekano wa serikali kukunyanga'nya ardhi if you don't comply with certain rules, lands mojawapo. Lakini ukweli ni kwamba serikali ikikukodishia ardhi, it reserves the right to renew that lease or reject it all together. Ki ufupi ni kwamba you are at the mercy of the leaser (the government). If it decides not to renew tht lease, you have nowhere to complain even if you have been paying land rates.

Huku kwetu, ukulipia rates as the government expects of you, you have no reason to worry coz ni kama tu kulipa taxes which is an obligation of every law-abiding citizen. Hakuna siku serikali itakuwa na usemi kwa ardhi yako kwa sababu wewe ndio mmiliki.
 
Ushabiki zingine ni za kijinga sana. Mombasa na Zanzibar wapi na wapi!

Zanzibar
View attachment 2470783

Mombasa
View attachment 2470785
Naona unetafuta picha uliyopiga juuu then unalinganisha na picha iliyopigwa kwa ukaribu 🤣🤣 the only thing mombasa is ahead of Unguja ni bandari tu mzee kwasababu hata real estate, tourism, airport na hotels Zanzibar ipo juu ya Mombasa by far
 
Back
Top Bottom