NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,388
- 17,969
Naivasha - Njambini road
More evidence. It’s a CRISIS.How do you know kuwa ajali za barabarani ni nyingi Tz? Lazima utakuwa na reference au comparative data na nchi nyingine mpaka umeweza ku deduce that.
Kule Nairaland umepotea sana. Kipi kilitokea?
More evidence.
But does he really think that prayers will solve these problems?
Uongo mtupu, Commuter buses nyingi za Mbagala zina hali nzuri kuliko hata cooperate staff buses za kundustan, stop making up illusions here!Sasa kuna kitu gani cha kucheka hapo? Ubovu wa miundombinu umekuwa-exposed sasa huna la kusema. Eti “Unalazimisha.” Na ukweli ni kuwa mabasi ya aina hii Ndio yana-serve asilimia kubwa ya watu wanaoishi kwenye low-income areas. Mji hauna standards za usalama wa usafiri, wanaachia individuals kuamua kivyao, hata kama waki-compromise usalama wa wananchi. Ndio Maana ajali za barabarani Tanzania ni nyingi sana!
So now xenophobia destination ndio ulimwengu for a grown-up vice president of the whole country? 🤣Wewe na pozi zako za kisasa hata passport pekee huna. Utafia hapo Tandale wakati wenye pozi za kihenga wanatalii ulimwengu.
Nusu mwaka revenue up to $5.33B niliongea huku mwaka huu tunakusanya $10B kuna mkenya roho ilimuuma sana sijui kwannTRA kukusanya Tz sh 12.46 trillion kwa nusu ya pili mwaka kuanzia mwezi July hadi December 2022 sawa na asilimia 99 ya lengo lake la kukusanya sh 12.48 trillion ... Hii inamaanisha TRA iliweza kukusanya sh 33.57 Trillion/ $14.38 billion kwa Mwaka jana 2022



Uongo mtupu, Commuter buses nyingi za Mbagala zina hali nzuri kuliko hata cooperate staff buses za kundustan, stop making up illusions here!
TRA kukusanya Tz sh 12.46 trillion kwa nusu ya pili mwaka kuanzia mwezi July hadi December 2022 sawa na asilimia 99 ya lengo lake la kukusanya sh 12.48 trillion .. 👇. Hii inamaanisha TRA iliweza kukusanya sh 33.57 Trillion/ $14.38 billion kwa Mwaka jana 2022
Sasa makusanyo yamefika wastani wa til.2 kila mwezi kutoka wastani wa til.1.4 yaani chini ya Miaka 2 makusanyo yameongezeka kwa bil.600 zaidi..Nusu mwaka revenue up to $5.33B niliongea huku mwaka huu tunakusanya $10B kuna mkenya roho ilimuuma sana sijui kwann![]()
Sasa huo uwingi wa ajali umeutoa wapi? Ajali hutokea kila nchi na kama huna reference huwezi kusema kuna ajali nyingi unless umetoa a biased opinion.Again, I did not make a comparison with other countries. Hii ni Wewe kuwashwa huku ukitafuta sababu ya kubishana na mimi. Hadi Rais Hassan kwenye tweet zake kabla mwaka 2022 hujaisha alihimiza sana kuhusu usalama barabarani. Habari kuhusu ajali zinatoka kila kukicha, Kwa hiyo usijifanye kuwa hufahamu hali halisi.
Magufuli alikuwa na mapungufu yake ila angekuwepo hili suala lingekuwa mbali,The city needs a metro system. Hata BRT haitaweza kutatua tatizo la msongamano.
Izo 2trill ksh ni sawa na trill 38 za tshKundustan pamoja na kukamua wananchi kodi kubwa mara 3 yetu lakini wametupita kwa $1 billion only
View attachment 2466270
36 sio 38.Izo 2trill ksh ni sawa na trill 38 za tsh
Au sio36 sio 38.