Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unalazimisha.? 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣

Jibu la mjinga ni kunyamaza.
Image
 
Unalazimisha.? 🤣🤣🤣
Sasa kuna kitu gani cha kucheka hapo? Ubovu wa miundombinu umekuwa-exposed sasa huna la kusema. Eti “Unalazimisha.” Na ukweli ni kuwa mabasi ya aina hii Ndio yana-serve asilimia kubwa ya watu wanaoishi kwenye low-income areas. Mji hauna standards za usalama wa usafiri, wanaachia individuals kuamua kivyao, hata kama waki-compromise usalama wa wananchi. Ndio Maana ajali za barabarani Tanzania ni nyingi sana!
 
Tulikuwa tunaongelea hicho mzee. Au umetoka kunywa chang'aa?
Rudi kwenye comment yangu Halafu utumie faculty zako uone kama nimeandika neno “Kenya.” Mimi sijali mlikuwa mnazungumzia nini, nimeandika comment Kwa context yangu. Hizo petty competitions si arena yangu.
 
Sasa mzee unaibuka tu bila kufuatilia yanayoendelea. Je unaitendea haki hii thread?.
Turudi kwenye topic.
Kati ya Prado na Probox gari gani inatumika zaidi kenya?
 
Sasa mzee unaibuka tu bila kufuatilia yanayoendelea. Je unaitendea haki hii thread?.
Turudi kwenye topic.
Kati ya Prado na Probox gari gani inatumika zaidi kenya?
Nimeshakwambia kuwa sijihusishi na mashindano yasiyo na msingi. Sifaidiki Kwa kufahamu aina ya gari linaloendeshwa zaidi Kenya. Ninachotaka kuzungumzia ni post iliyoonesha basi lenye hali mbovu likibeba abiria. Kama hili si lengo lako pia, tafuta mtu mwingine wa kuzungumza naye kwasababu mimi sina muda wa kupoteza.
 
Back
Top Bottom