The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Mmebaki kupost picha za kutengeneza yani uongo uongo tu ndiyo mnapenda. Kipicha hicho hicho leo mnakipiga shedo hii kesho ile.
Mmebaki kupost picha za kutengeneza yani uongo uongo tu ndiyo mnapenda. Kipicha hicho hicho leo mnakipiga shedo hii kesho ile.
Yah kama itazidi sn ni 37.Au sio
Yeah naona...sio mbaya sanaYah kama itazidi sn ni 37.View attachment 2466442
Na hapo SGR, JNHPP bado hazijaanza kazi, pia kumbuka miradi ya BRT na gesi yn hizi mambo zote zikiwa functional effective basi itakuwa aibu hata kulinganisha Tz na vinchi vya East and Central Africa.Yeah naona...sio mbaya sana
Pia ukumbuke sio mda mrefu hawa wakundustan walikuwa wanapiga kelele sn kuhusiana na makusanyo kwamba makusanyo yao ni mara mbili yetu, ona leoYeah naona...sio mbaya sana










Nawe pia mzeiya.Heri ya Mwaka mpya.
Nawe pia mzeiya.
Achana nae huyo mjuaji asiwasumbue kichwa 🤣🤣🤣Tulikuwa tunaongelea hicho mzee. Au umetoka kunywa chang'aa?
Sasa wakipost ww unaumia nn au ww ndio mwenye hii thread ww siumekuja juzi juzi tu hapa tunakuona je sisi wakongwe utatuambia nn 🤣🤣🤣Kuna watu humu wanapost kuhusu vita ya Russia dhidi ya Ukraine, ambayo haina mahusiano yoyote kuhusu hii “battle” yenu. Umeshawahi kuwauliza hilo swali? Lengo la Jamii Forums ni kutoa platform ya kujieleza bila mipaka. Kwa hiyo nitatumia haki yangu accordingly.
Malizia na neno zwazwa plz 🤣🤣🤣🤣
Alaf wanakwambia wana viwanda na uchumi mkubwa ukija kwenye reality havionekani 🤣🤣🤣🤣🤣Kundustan pamoja na kukamua wananchi kodi kubwa mara 3 yetu lakini wametupita kwa $1 billion only 🤣
View attachment 2466270
Akili zao zimestuck kwenye 1ksh =21tsh...Yah kama itazidi sn ni 37.View attachment 2466442
Wanasemaje tena huko 🤣🤣🤣🤣
Kunajamaa kawafuata huko kwao. Nimepita huko jamaa wanahasira kweli.Wanasemaje tena huko 🤣🤣🤣🤣
Lazma wapasuane kwa kweli 😆😆Kunajamaa kawafuata huko kwao. Nimepita huko jamaa wanahasira kweli.