Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeshakwambia kuwa sijihusishi na mashindano yasiyo na msingi. Sifaidiki Kwa kufahamu aina ya gari linaloendeshwa zaidi Kenya. Ninachotaka kuzungumzia ni post iliyoonesha basi lenye hali mbovu likibeba abiria. Kama hili si lengo lako pia, tafuta mtu mwingine wa kuzungumza naye kwasababu mimi sina muda wa kupoteza.
Sasa unakuja kwenye thread ya battle btn Dar and Nairobi kisha ulete maelezo tofauti na battle je, utakuwa umetutendea haki?

Tukikuuliza unakuwa mkali, je, mwenyehekima anatabia hizo?
 
Kuna watu humu wanapost kuhusu vita ya Russia dhidi ya Ukraine, ambayo haina mahusiano yoyote kuhusu hii “battle” yenu. Umeshawahi kuwauliza hilo swali? Lengo la Jamii Forums ni kutoa platform ya kujieleza bila mipaka. Kwa hiyo nitatumia haki yangu accordingly.
 
This has nothing to do with Kenya, so I don’t know what you’re talking about.
How do you know kuwa ajali za barabarani ni nyingi Tz? Lazima utakuwa na reference au comparative data na nchi nyingine mpaka umeweza ku deduce that.
 
Kuna watu humu wanapost kuhusu vita ya Russia dhidi ya Ukraine, ambayo haina mahusiano yoyote kuhusu hii “battle” yenu. Umeshawahi kuwauliza hilo swali? Lengo la Jamii Forums ni kutoa platform ya kujieleza bila mipaka. Kwa hiyo nitatumia haki yangu accordingly.
Ona sasa unakorukia!!!
Tunaongelea thread hii cde wangu.
Kwa sasa tunaongelea gari zinazotumika zaidi huko kenya.
Kama huu mfupa ni mgumu kwako achana nao waachie akina NairobiWalker wautafune.
 
How do you know kuwa ajali za barabarani ni nyingi Tz? Lazima utakuwa na reference au comparative data na nchi nyingine mpaka umeweza ku deduce that.
Again, I did not make a comparison with other countries. Hii ni Wewe kuwashwa huku ukitafuta sababu ya kubishana na mimi. Hadi Rais Hassan kwenye tweet zake kabla mwaka 2022 hujaisha alihimiza sana kuhusu usalama barabarani. Habari kuhusu ajali zinatoka kila kukicha, Kwa hiyo usijifanye kuwa hufahamu hali halisi.
 
Ona sasa unakorukia!!!
Tunaongelea thread hii cde wangu.
Kwa sasa tunaongelea gari zinazotumika zaidi huko kenya.
Kama huu mfupa ni mgumu kwako achana nao waachie akina NairobiWalker wautafune.
Hivi unataka nini kutoka kwangu? Nimeshakwambia kuwa sina muda wa kubishana na wewe na bado unaendelea kuni-quote. Unapenda kupata attention ya wanaume wengine? Una daddy issues?
 
Again, I did not make a comparison with other countries. Hii ni Wewe kuwashwa huku ukitafuta sababu ya kubishana na mimi. Hadi Rais Hassan kwenye tweet zake kabla mwaka 2022 hujaisha alihimiza sana kuhusu usalama barabarani. Habari kuhusu ajali zinatoka kila kukicha, Kwa hiyo usijifanye kuwa hufahamu hali halisi.

CDE nathani umekosea njia. Hii thread ni ya battle. Hatuhitaji porojo hapa.
Zipo threads nyingi tu humu. Hii imekuzidi uwezo. Tafuta thread inayoendana na uwezo wa akili yako.

Usilazimishe kuwa mwenye uelewa mpana wakati uwezo wako ni kiduchu.
 
Mtanzania yoyote yule asiwajibu kundustan habari za mafataki ni ujinga uliopitiliza
Hawa Hawa wabongolala wenye kusumbuliwa na jinsi mwanaume alivyopiga pozi kwa picha? They're more petty than you're trying to imagine.🤣🤣🤣
 
CDE nathani umekosea njia. Hii thread ni ya battle. Hatuhitaji porojo hapa.
Zipo threads nyingi tu humu. Hii imekuzidi uwezo. Tafuta thread inayoendana na uwezo wa akili yako.

Usilazimishe kuwa mwenye uelewa mpana wakati uwezo wako ni kiduchu.
Hakuna lolote unaweza fanya. Nitaendelea kuongea nipendavyo wakati wowote nipendao.
 
Hivi unataka nini kutoka kwangu? Nimeshakwambia kuwa sina muda wa kubishana na wewe na bado unaendelea kuni-quote. Unapenda kupata attention ya wanaume wengine? Una daddy issues?
Oh!!! Jamani, jamani. Yamekuwa hayo tena!?
Nimekwambia jambo fupi tu kuwa hapa ni battle btn Dar and Nairobi.
Kwa sasa tunaongelea gari zinazotumika zaidi huko kenya.

HAPO HUJAELEWA NINI SASA?
 
Baada ya kugundua hamna magari ya maana sio? Wewe Mkustan mbona mnaruhusiwa ku-import chakula ila mna njaa still!?
By magari ya maana unamaanisha nini? The latest cars hii region huanzia Kanairo. Ndio maana all luxury outlets in this region are based in Nairobi. Endeleeni kuimport 20 year old cars.🤣
 
Oh!!! Jamani, jamani. Yamekuwa hayo tena!?
Nimekwambia jambo fupi tu kuwa hapa ni battle btn Dar and Nairobi.
Kwa sasa tunaongelea gari zinazotumika zaidi huko kenya.

HAPO HUJAELEWA NINI SASA?
Achana na mimi.
 
By magari ya maana unamaanisha nini? The latest cars hii region huanzia Kanairo. Ndio maana all luxury outlets in this region are based in Nairobi. Endeleeni kuimport 20 year old cars.🤣
Unajitahidi sana. Je, unaweza kuzihudumia zote accounts zako humu? Na kupa hongera kwa kujitahidi kuwa mmoja wa wamilk wa accounts nyingi za JF.

Huwezi kujificha uandishi wako tunaujua.
 
Back
Top Bottom