Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwendokasi.

IMG_4314.jpg

IMG_4313.jpg
 
Yani mm nilijua toka wameanza atleast wana units kama 1500 hvi 🤣🤣🤣

Si bora hata kampuni ya GF tanzania wana assemble zaidi ya units 50 kwa mwezi
Bongolala, najua Kizungu huwa kizungumkuti kwako ila wacha nikusaidie. Wamesema they've assembled and sold 67 units by end of September last year. Hiyo ni production ya nine months, not since they started operations as you say.

Secondly, unaanzaje kulinganisha trucks za Mercedes na hizo vichekesho havijulikani popote? Ama ulidhani wakitengeneza 50 units kwa mwezi ni big deal? General Motors wana assemble 10 units a day na tumenyamaza tu and this was in 2013. That's 300 units a month!

Choose your battles wisely usije ukapasuka msamba
 
Kitu nashangaa tulikua tunaongelea kuhusu DT dobie sasa sijui umerukia wapi tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli akili ni nywele nisije kua nabishana na mtu hana nywele kichwani ana nywele za kwenye kende
 
Kuna yule Teargass imekuwaje siku hizi? Nadhani yumo humu humu kwenye IDs kadha wa kadha.
Kila mmoja wao ana id mbili mpaka tano muwazoee manake ndio binaadamu pekee juu ya ulimwengu huu waliozoea uongo na hawaendi na wakat 🤣🤣🤣 yani dunia ishabadilika wao wanafikra za dunia ya miaka 30 iliopita
 
Aliekudanganya nani 🤣🤣🤣 unafkiri ni probox na filder hzo
View attachment 2466591View attachment 2466592
Just because you can google doesn't make you smart. Bei za magari hutofautiana kulingana na nchi. Ukiulizwa hizo prices zako ni za nchi gani huwezi hata kujibu.

Mimi nakupatia bei za importers wa Kenya sio kama wewe unaquote vitu kwa internet far from reality.

Bei ya lexus LX600 bila tax inatosha kununua LC 300 mpya na ubakishe change.
 
Back
Top Bottom