Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mliend world cup lini na stadium yenu "modern"
Hawa ndio watu wanacheka Ghana na hata kwa Fifa rankings wako karibu kuvuta mkia. 🤣 🤣 🤣 🤣 Huko bongolala hata Ambulance ni shida.

Image
 
🤣🤣🤣🤣 You are allowed to import very old cars, over 20 years na bado wengi wenu hata baiskeli hamwezi afford. 🤣🤣🤣🤣


Baada ya kugundua hamna magari ya maana sio? Wewe Mkustan mbona mnaruhusiwa ku-import chakula ila mna njaa still!?
 
🤣🤣🤣🤣 You are allowed to import very old cars, over 20 years na bado wengi wenu hata baiskeli hamwezi afford. 🤣🤣🤣🤣


🤣🤣🤣 Unaenda kuokota comments Twitter unajifurasha mwenyewe..
 
Ohhh sijui wakenya wanaumia, wakenya wana hali ngumu. Hua mnajiona kweli?🤣🤣🤣

 
Hii ndio mbagala nnayoijua mimi sasa, ile picha ya kwanza haikua mbagala.. Gari za Mbagala they always over crowded .. ile gari ipo empty kabisa then ulisema ati ni mbagala 🤣🤣
Eti always overcrowded kwani abiria hawashuki, tafuta excuse ingine we pimbi.
 
Back
Top Bottom