Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,140
- 17,880
So unajivunia nini kama huo "ubora" wa ligi haisadii timu yenu ya taifa? The pride is not in the league, but the performance of the national team. Ndio maana ligi nyingi ziko na kitu kinaitwa Player Quotas (Google that). Hii inawekwa ili kulinda performance ya national team. Wewe ni kilaza sanaLeague na timu ya taifa ni vitu viwili tofauti kabisa, timu ya taifa inategemea na wachezaji ulio nao. Sisi hatujui mpira kabisa, hii ligi yetu ni bora kwasabu tuna pesa tunanunua mchezaji tunayetaka na ndiyo maana unaweza kuona hata timu zetu za vilabu kwa ss huwezi kuziweka level moja na timu za ukanda huu haiwezekani zipo mbali sn kwa ss. Yote hyo ni kwasababu timu zetu zina wachezaji wa gharama kutoka mataifa ya West Africa, ulaya na Amerika.