Tofauti ni kama usiku na mchana, alafu mtu anataka kulinganisha soka la Tanzania na Kenya, unaambiwa ikitoka SA inafata bongo kwenye suala la pesa toka kwa wadhamini.
The difference is like day and night [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja tupige kwa rate ya sasa.
1ksh = 18tsh
1,000,000 × 18 = 18,000,000
So, bingwa Kenya anapata 18,000,000 Tsh
Bingwa Tz anapata 600,000,000 Tsh.
Take 600,000,000 ÷ 18,000,000 = 33.3333
So, bingwa Tz anapata zaidi ya mara 33 ya anachopata bingwa Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]