Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

East African Superpower. We are kidnapping the region.


Safaricom in Ethiopia
20221229_170153.jpg
20221229_170156.jpg
 
haaaaa unaumwa ww tuonyeshe bus zenu bas za kule ushagooo
Hakuna China made hapa. Zote ni proudly made in Kenya by Kenyans for Kenyans. Master Fabricator.

Isiolo Bound Bus

Mabruk
1672323150934.jpg
1672323185826.jpg


Garrisa Bound Bus.

Rayan Coach.
1672323141460.jpg
1672323127597.jpg
 
Wakenya wote wamekimbia kabaki mwendawazimu peke yake, huyu mnuka mavi wala asiwasumbue ni chizi huyo hajali kitu zaidi ya kujiliwaza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo yanabadilika, kuna Mmoja juzi kaibuka na kusema sasa hivi battle ni 1:1 🤣 , Kuna mmoja kasusa hatumwoni tena.
 
Mambo yanabadilika, kuna Mmoja juzi kaibuka na kusema sasa hivi battle ni 1:1 [emoji1787] , Kuna mmoja kasusa hatumwoni tena.
Tunawapelekea moto sio poa, tuliwaambia hii miradi ikiisha mtakimbia humu. Wengine washaanza kupagawa na Dodoma station ikiwa bado haijafika hata 50%[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom