ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii comment nimetumia telescope nimegundua imejaa machozi na jasho la nywele lita 30Yani render na actual thing ni kama ardhi na bingu. Mibongo mwachekesha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii comment nimetumia telescope nimegundua imejaa machozi na jasho la nywele lita 30Yani render na actual thing ni kama ardhi na bingu. Mibongo mwachekesha
Ebu tuonyeshe reli ikiingia ndani ya jengo tuone.
mwavuli ndo nn? nyoko ongea Kimumbi!Ya Dodoma haitaingia ndani ya building. Ni tu kama ya Pugu but tofauti ni kwamba imepewa mwavuli refu.
Ww mwache twende nae ki wazimu wazimu 😆You think by using the anus
Scroll back utaiona. I posted it to Geza.
Lugha laini hawaziwezi. Wamezoea vitu vigumu. Sasa mtu anataka aoneshwe wakati bado development inaendelea, huyo mtu anatumia kichwa kweli!!!Ww mwache twende nae ki wazimu wazimu 😆
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ww nae punguza ujuaji wa kijinga lengo kubwa ni hili hapa sikiliza kwa umakini na utulize kipapa hicho kila kitu hujifanya ww mjuaji
Where's canopy here?Haingii ndani. The train will be outside the building but only covered by the canopy.
We ichoboy hapa wataunda canopy inafanana kama tunnel, reli haitapita ndani ya jengo
Wewe ndio umekuja mbadala wa huyo mwingine. Au ni mtu mmoja anakuja na IDs tofauti tofauti? Ngoja nifuatilie mtiririko wa mawazo.We ichoboy hapa wataunda canopy inafanana kama tunnel, reli haitapita ndani ya jengo
Hiyo Green hapa ilienda kukojoa itarudi? Naona shacks tu!They say if you can't beat them you join them. Si eti wanachukia miti ya Nairobi. Ni vile tu wanatamani sana na wao wangekuwa na idadi sawa ya miti kwenye miji zao kama ilivyo Nairobi ndio maana unaona comments na posts kama za huyo jamaa hapo juu. Ki undani wanatamani sana greenery ya Nairobi ndio maana unaona posts kama hizi lakini kwa vile wanaendeshwa na chuki na wivu, wanakejeli the same thing they long to have
Alaf ukimuuliza kasoma nn atakwambia civil engineering 🤣🤣🤣ndio hawa wasomi kila baada ya wiki magorofa yanaanguka 🤣🤣🤣🤣We ichoboy hapa wataunda canopy inafanana kama tunnel, reli haitapita ndani ya jengo
tunnel imekuwa canopy!We ichoboy hapa wataunda canopy inafanana kama tunnel, reli haitapita ndani ya jengo
We mpumbavu angalia video zen uchangie usijipe faraja za kijinga.We ichoboy hapa wataunda canopy inafanana kama tunnel, reli haitapita ndani ya jengo
Why show me the render? Nionyeshe Kwa hii picha.
Huamini hii maneno!
Be Ready
Uvinza-Msongati-kindu SGR inaenda kusainiwa first half ya 2023!
Hapo penye umecircle ndio canopy, unless you don't know the meaning of canopy.Where's canopy here?View attachment 2458383View attachment 2458384
Kwan jengo limekamilika hapo?? Yani jengo liko 34% imagine mbona munakua wajinga kias hichi 😆😆😆 wivu wann mtoto wakiume ww jikaze budaa la sivo watakupumulia kwa style hii